Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 861
- 1,547
Cashout
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cashout
Shukran bossCashout
PamojaShukran boss
Tuchel namna alivyobeba ubingwa mwaka jana ni kwa sababu ya ujinga wa DORTMUND. Ni kocha wa kawaida sanaNamuona Tuchel Thomas akianza kufungasha vilago vyake mdogo mdogo. Bayern imepoteza mechi tatu in a row. Hii haina afya kwa kocha. Ajiandae kisaikolojia.
Kama huna njaa ya hela acha. Hela nyingi hiyo cashout mapema Kanji haeleweki. Hizo timu zilizobako na ligi zao kutoka nyau nyau ni kawaida sana.
Hata over 1. 5.Reliable option kwa top leagues and top teams ni Over 0.5 goals tu..nyingine zote ni danger tu ninavyoona
Hivi kwa akili yako unazani olympiacos ni mbovu eeh?! Sometimes kabla ujabet jaribu kufanya analysis...hiyo mechi niliweka pembeniBETTING inauma sanaaaaa
Timu 1 kweli PAOK, Mlaniwe Mbwa Nyie.
Hili Samatta liende hata KMC.
Hivi kwa akili yako unazani olympiacos ni mbovu eeh?! Sometimes kabla ujabet jaribu kufanya analysis...hiyo mechi niliweka pembeni
Paok kwa olympiacos ni underdogPAOK ni wakushindwa Kuscore Goal 2 Akiwa Home?
Hivi unachezaga au unatuchora tu? Kama unacheza tuonyeshe mkeka uliowin hapo vinginevyo na wewe ni wakala wa shetani/kanjibaibooooooom 1, hongereni mlochezaView attachment 2908324
Kuna mkeka apa nilkua nakula 140k kachana Madrid zingine zote zine toa bado Ac milan . ka roho kana niuma natamani na Ac Milan achane [emoji28][emoji28][emoji28]