Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tunaendelea
Milan mtajijua wenyewe kwenye huo mkeka mmoja mlionichania
Safari inasonga
Screenshot_20240219-010115.png
 
Hivi unachezaga au unatuchora tu? Kama unacheza tuonyeshe mkeka uliowin hapo vinginevyo na wewe ni wakala wa shetani/kanjibai
heeh?are you serious? guys mbona mnakua like.... sjui niseme aje, kwani huoni huwaletea zote nazopost na zikishinda pia nawajulisha na naweka screenshot? au nikuonyeshe nini kingine? video? ooooh gosh[emoji17] now i understand why watu hua wanaacha kuwasaidia watz , sababu you guys hamueleweki mnataka nini, ndo mana hata humu kwa group watu huacha kushare wanabakinazo wenyewe tu kwa mambo ka haya
 
Anyways.

Real Madrid

Bayern Munich

Ac Milan

Maccabi Haifa

Nisingetoboa

Kuna Site waliweka Other Options that Double Chances nika Wadharau
 
wakuu sorry naomba,mnifafanulie hii option mpya cas sielewi elewi,

niliona watu tangu juzi wanaidiscuss na kupost, hii ya Any Team To Score 3 or More Goals in a Row, nikasema wacha nijaribu kwa very small odd 1.18 match 5 , ati ikatick, but match moja ya monza na milan walitoa 4:2 na niliweka home team Home Team To Score 3 or More Goals in a Row (NO) but wamescore 4 goals na imetick, how? sjaelewa[emoji50]
View attachment 2908852
 
Yani apo haitakiwi timu moja ifunge magoli matatu mfululizo mfano unaweza kucheki matokea ya jana ya Benfica, Brighton, Montpellier, Lorient, Rangers, Galatasaray, Elversberg, Copenhagen, Randers, Slavia Prague, Royale Union na Al Hilal just to mention few.

Ili mkeka uwe marked as won inabidi opposing team ipate goli before the leading team kuongeza bao la 3 mfano angalia matokea ya jana ya Nordsjaelland, Bochum, Roma, Monza na Rennes.

kwa upande wangu naona ni mbadala wa option ya MultiGoals.

you got me right.?
 
in a row ....goli tatu mfululizk
 
oooh asante sana kiiongozi, umedescribe vizuri sana, now i understand[emoji120] be blessed sana, ni option nzuri sana
 
Back
Top Bottom