Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Magical power anacheza na mitaji ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado haina maana, sababu ukipost hiyo ya pili ukapata 25 kama hiyo ya Kwanza manake Una lost ya 6000++Wazee, kama kuna wanaofata kale kaushauri ka kubetia mkeka mmoja mara mbili naamini angalau hawapotezi sana... Ukiona mmoja unadalili ya kufeli unacashout kurudisha mtaji wako na mwingine ni LIWALO na LIWE
View attachment 2909475
Somaga na terms and conditions kuna kampuni goli likifungwa 90+ bado unakuwa LOST hata dakika 90 ikipita....° Mechi ya mancity v brentford
Dakika ya 86-90 lisitokee goli odds 1.44 (1XBET)
Hii naruka nayo mazima. Halafu kuna ya pili hii hapa chini.
° Zipatikane goli 2 kuanzia dakika 1-60 odds 1.51
Na ndio maana nikaandika 1XBET nazijua T&C zao vizuri sana toka 2018. Pia sio mara ya kwanza kutembea na hizo option na nyingine zenye utata.Somaga na terms and conditions kuna kampuni goli likifungwa 90+ bado unakuwa LOST hata dakika 90 ikipita....
Basi vyema mkuu...kama unalielewa hiloNa ndio maana nikaandika 1XBET nazijua T&C zao vizuri sana toka 2018. Pia sio mara ya kwanza kutembea na hizo option na nyingine zenye utata.
Ina maana gan hii option ya any team to score 3 or more goals in rowany team to score 3 or more goals in row hii nimeona sporty bet na 1xbet sijajua kwa another company
Maana yake timu yeyote ifunge magoli 3 au zaidi mfululizo bila timu pinzani kufunga. Kazi yako ni kuchagua yes au no ila NO ni rahisi kutokea.Ina maana gan hii option ya any team to score 3 or more goals in row
Ime faint sana dada mkuu hakuna namna tuione vizuri? nakufuata hapa.11 oddd[emoji120]View attachment 2909753
itakuwa powa zaidi mamaa kma utatubless in form of code.........11 oddd[emoji120]View attachment 2909753
mkuu hiyo kwa man city ni moto° Mechi ya mancity v brentford
Dakika ya 86-90 lisitokee goli odds 1.44 (1XBET)
Hii naruka nayo mazima. Halafu kuna ya pili hii hapa chini.
° Zipatikane goli 2 kuanzia dakika 1-60 odds 1.51
timu yeyote iscore goal tatu au zaidi kwa mfuatano bila nyingine kupata goalIna maana gan hii option ya any team to score 3 or more goals in row
ishu ni kuwa active kucheki cashout na kuwa mwepesi wa kufanya maamuzi, kuna muda nilipewa offer ya kucashout 148,000 kwa kila mkeka ila nikapuuzia! Lakini cashout ikaja kushuka nikaona bora niokoe 25k. Nimecashout tu, kwenye dakika za nyongeza game ikatiki kwahiyo ule uliobaki ukanipa 380k... Kiufupi hii njia imenisaidia mno kuokoa pesa zangu, yani sana!Bado haina maana, sababu ukipost hiyo ya pili ukapata 25 kama hiyo ya Kwanza manake Una lost ya 6000++