Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilimpa Handcap [emoji28][emoji28] ya -2.5 Anamzigo wa Kushinda Goal 4 ili niwin
Anaongoza goli mbili dk ya 20..natamani kuwaona tena ipswich wakirudi premiership...Mara ya mwisho niliwashihudia mwaka 2000-2002 waliposhuka daraja...msimu wa mwaka 2000 walikaribia kwenda UEFA chamions league ,liverpool alitibua mipango yao..wakashika nafasi ya 5.
 
Brentford wanakaba balaa... city awahi kupata goli la mapema ili awafungue jamaa..maana leo wamepaki matrekta golini
 
City hapat goli leo na kama atapata mojaa tuu wala haongez mnahali mbaya sana wa kamaria kuna muda had mnataka mlie ila ndio maisha nchh ngumu, hela ngumu kamali ngumu dah hakuna pa kutokea
 
Brentford wanakaba balaa... city awahi kupata goli la mapema ili awafungue jamaa..maana leo wamepaki matrekta golini
maana yako hayo matrekta kina nan? Usijipoze baba huu ndio utabir wangu nabii wenu mr pipa hapa gem likiisha city 1_0 betfod atayepinga ajee nampa train lenye la odds 5000 asipowin nakuwa wazir wa nchi nikapinge kamari
 
Anaongoza goli mbili dk ya 20..natamani kuwaona tena ipswich wakirudi premiership...Mara ya mwisho niliwashihudia mwaka 2000-2002 waliposhuka daraja...msimu wa mwaka 2000 walikaribia kwenda UEFA chamions league ,liverpool alitibua mipango yao..wakashika nafasi ya 5.

Walikuwaga Moto sana Hawa Jamaa tokea Pale sijui nini kiliwakuta
 
Kuna mwana huko X anajiita real nigger alikuwa anampiga kanji kwa stake za 500k-1M...akaanza kutukana wanaoweka stake za 500-10000 kuwa hawajui kubeti...sasahv analalamima huko kanji kamnyoosha vibaya kila akiweka 500,000 kanji anapita nayo.

Sasa hv anawaomba wana msamaha
alafu ukishazoea kuweka stake za 500k-1M+ ukifilisika ukaanza kuweka stake za 8k- 20k nibora upumzike kubet tu kwani huwa kuna hali flani hivi yakukata tamaa nakunjika moyo hata umakini huwa unapotea...betting nikisanga,
 
City hapat goli leo
Ni ligi ya Tz na Estonia tu ambapo timu inashinda michezo yake yote iliyobaki ila kwa wenzetu inabidi ukaze Tako,,,,, japo muda Bado mana timu ndogo hufanya makosa mwshoni kwa kurudi nyuma na kuruhusu mashambulizi yasiyo na sababu
 
Leo nimepoteza pesa mingi aise, ila angalu virtual kama kawaida imenifadhili... 😕

1708465143740.png
 
Mkamalia halisi..kaamka tu na kutupia keka...alienzisha huu mchezo ni shetan aisee.

Huu ni uraibu wa kiwango cha juu kuliko cocaina.
[emoji16][emoji16]
iiii jamaani[emoji16] ndo unancheka we kaka/dada? sio uraibu bana, hamtaki tujenge magholofa?[emoji23] ndo tunadunduliza hapa tutafanyeje sasa jamani na mishahara hii ya under 1M[emoji23]
 
Back
Top Bottom