oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
8D7223F Sportbety
KEKA LA KULALIA HILO.
KEKA LA KULALIA HILO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaongoza goli mbili dk ya 20..natamani kuwaona tena ipswich wakirudi premiership...Mara ya mwisho niliwashihudia mwaka 2000-2002 waliposhuka daraja...msimu wa mwaka 2000 walikaribia kwenda UEFA chamions league ,liverpool alitibua mipango yao..wakashika nafasi ya 5.Nilimpa Handcap [emoji28][emoji28] ya -2.5 Anamzigo wa Kushinda Goal 4 ili niwin
maana yako hayo matrekta kina nan? Usijipoze baba huu ndio utabir wangu nabii wenu mr pipa hapa gem likiisha city 1_0 betfod atayepinga ajee nampa train lenye la odds 5000 asipowin nakuwa wazir wa nchi nikapinge kamariBrentford wanakaba balaa... city awahi kupata goli la mapema ili awafungue jamaa..maana leo wamepaki matrekta golini
Anaongoza goli mbili dk ya 20..natamani kuwaona tena ipswich wakirudi premiership...Mara ya mwisho niliwashihudia mwaka 2000-2002 waliposhuka daraja...msimu wa mwaka 2000 walikaribia kwenda UEFA chamions league ,liverpool alitibua mipango yao..wakashika nafasi ya 5.
alafu ukishazoea kuweka stake za 500k-1M+ ukifilisika ukaanza kuweka stake za 8k- 20k nibora upumzike kubet tu kwani huwa kuna hali flani hivi yakukata tamaa nakunjika moyo hata umakini huwa unapotea...betting nikisanga,Kuna mwana huko X anajiita real nigger alikuwa anampiga kanji kwa stake za 500k-1M...akaanza kutukana wanaoweka stake za 500-10000 kuwa hawajui kubeti...sasahv analalamima huko kanji kamnyoosha vibaya kila akiweka 500,000 kanji anapita nayo.
Sasa hv anawaomba wana msamaha
Ni ligi ya Tz na Estonia tu ambapo timu inashinda michezo yake yote iliyobaki ila kwa wenzetu inabidi ukaze Tako,,,,, japo muda Bado mana timu ndogo hufanya makosa mwshoni kwa kurudi nyuma na kuruhusu mashambulizi yasiyo na sababuCity hapat goli leo
Una roho ngumu sana.. virtual kuiwekea 150k!!Leo nimepoteza pesa mingi aise, ila angalu virtual kama kawaida imenifadhili... 😕
View attachment 2910642
Ni kweli aise, hisia ninayokuwaga nayo wakati huo sio ya kawaida!Una roho ngumu sana.. virtual kuiwekea 150k!!
Imetoa, no goal scored from 86-90 minutes betwen mancity v brentford.mkuu hiyo kwa man city ni moto
Mkamalia halisi..kaamka tu na kutupia keka...alienzisha huu mchezo ni shetan aisee.
Mpaka maji tuyaite mmaa..
Jana Man City katuchania Mkeka hivyo mchezk wa kuwapa 1.5 ni Kisanga aisee
Uwe unatutumia basi hizk Code za Virtual on time ili nasi tupunguze MachinguLeo nimepoteza pesa mingi aise, ila angalu virtual kama kawaida imenifadhili... 😕
View attachment 2910642
iiii jamaani[emoji16] ndo unancheka we kaka/dada? sio uraibu bana, hamtaki tujenge magholofa?[emoji23] ndo tunadunduliza hapa tutafanyeje sasa jamani na mishahara hii ya under 1M[emoji23]Mkamalia halisi..kaamka tu na kutupia keka...alienzisha huu mchezo ni shetan aisee.
Huu ni uraibu wa kiwango cha juu kuliko cocaina.
[emoji16][emoji16]