Wewe si unapigaaaaa mpaka unapigikaaaa☺️Naona mnapiga pesa tu [emoji387][emoji387][emoji387]
Mzunguuko wa pili timu kubwa zitakaziwa sana ,,, hivyo over kwao ni risk na ushindi ni kwa tochi,,,Wapuuzi naona siku hizi wanabet under
Sasa tufanyeje ...mipesa ya bure tu[emoji56][emoji56]Wewe si unapigaaaaa mpaka unapigikaaaa[emoji3526]
kwahy tucheze na gg ila kwa port na arsenal ushindi nauona kwa porto sion arseno kushinda hata moja, kwa livepoor naziona gor nyng tu akimfunga luton ila gg lazima itatoa na hata over 3.5 itatoa shwaa kwa napoli na barca hapa naona sare ya 1_1 huu ndio utabir wangu hutaki pesa inakuzulu kama hamuamin mwisho wa mechi kesho muje munikate kichwa nabii wenu aka mr pipaMzunguuko wa pili timu kubwa zitakaziwa sana ,,, hivyo over kwao ni risk na ushindi ni kwa tochi,,,
Magoli kwenye timu ndogo maana wanakimbizana kimbizana
mkuu upoNipo kama sipo
Msidharau hii
View attachment 2910887
R3BHL
Stake what you can afford to lose [emoji120][emoji120][emoji120]
hapo zita fall tatu vp nikutajie ili na mm nipate hela ya guastHizi odds 50 zitafika kweli [emoji56][emoji56] natafuta pesa ya bia leoView attachment 2911232
Tatu zote hizo wakati mimi mechi ninayo hofia hapo ni hiyo yenye odds 1.18[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]hapo zita fall tatu vp nikutajie ili na mm nipate hela ya guast
mkuu upo
KITAMBO SANAAAAA
Kitu icho tia 300 tu ule elf 14 kipo live pesa ya gest hiyo ukikosa ujue una laana ya sa100hapo zita fall tatu vp nikutajie ili na mm nipate hela ya guast
Hii pesa hakuna ngumu kumeza hapo.ila sijachezaHii ni ngumu kumeza
View attachment 2911245
CK9RL
Stake what you can afford to lose [emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu kulingana na unajimu wa nyota kaa genti ana nyota ya mshale(mushtara/moto) na mpinzani wake ana nyota ya mashuke (autwarid/ardhi) na saa wanayo cheza inamilikiwa na autwarid wa mashuke (udongo)Hii mechi ya gent inatakiwa gent kushinda by any cost[emoji725][emoji725]
Futa nikupe andaziMkuu kulingana na unajimu wa nyota kaa genti ana nyota ya mshale(mushtara/moto) na mpinzani wake ana nyota ya mashuke (autwarid/ardhi) na saa wanayo cheza inamilikiwa na autwarid wa mashuke (udongo)
Kiasilia moto rafiki yake upepo,na udongo rafiki yake ni maji.
Hivyo basi moto adui yake ni majimaji,maji adui yake ni upepo ,upepo adui yake ni udongo , udongo adui yake ni moto,na siku zote tabia ya moto inapigwa na tabia ya maji,pia tabia ya maji upigwa na tabia ya upepo na tabia ya udongo upigana na kuzuliana na tabia ya moto.
Ivyo basi saa 8:00pm siku ya jumatano mtawala ni autwarid wa nyota ya mashuke ambae kitabia atakua ni udongo na tukumbuke katika timu zetu za Kaa genti vs maccabi Itakua ngumu sana sababu timu Moja ni moto ingine ardhi Na muda wa mechi tabia yake ni udongo ivyo kiutabiri mechi hii Ina asilimia kubwa sana kuisha ndroo ama maccabi kushinda sababu maccabi ni udongo na mda wa mechi ni udongo ivyo Kaa genti kushambuliwa na timu pinzani pia kushambuliwa na mda wa mechi.
Na ndio mana nikaunda izo mechi tatu nikaweka apo ili Kila mtu aone na acheze,nimezitengeza kutokana na mfumo wa kiunajim na zina asilimia 99 💯 za kushinda,na ad dakika hii ninayo andika apa tayari zinaenda kama vile nilivyo tabiri,tusubiri dk 90 ndio ziongee mana kwenye mpira lolote linaweza kutokea🙏🏽
Tusubiri dk 90 mkuu mana kwenye mpira lolote linaweza kutokea sisi tunatabiri kulingana na elim ya unajim lakini wanao cheza ni wengine 🙏🏽Futa nikupe andazi