Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

leadis and the jentooo nikijiita mr pipa aka nabii wa mikeka ni mr pipa haswa na ni nabii wa mikeka haswa hapa hatuwek hisia tunaweka uhalisia nikijiita nabii wa mikeka muwe anajibu pipaaa pipaaa sawa eeh nyie wa kulost polen sana afu we wa kushinda m1 hapo juu ukipenda niungie hata bando kama hupend kaa nayo nazan umenielewa
 
Mkuu nimekunyooshea mikono
 
hapo zita fall tatu vp nikutajie ili na mm nipate hela ya guast
Nabii vipi zimechana ngapi kwenye huu mkeka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]unabii wako ume kwama kwa jinius pesa ya bia na vocha na supu zimesha patikana
 
Kazi ndiyo imeanza hapa sijui nitapata pesa ya supu maana nimetia mzigo wa sh mia 231 hivi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
nazani hukunielewa kwanini niliongea, kuna mwana yeye kazi yake kukopi code zikitiki leo kesho zikifeli kazi yake kuponda wala hakumbuki kama jana umemtumia tips niliandika vile ili huu mkeka wako auruke huku nikijua won nilijua tu ataufata na alikuja pm et mkuu nitajie timu tatu nikamjibu achana nao huo una fall so snich unaishi nae kisnch na sio kwamba nilikulenga mtoa tips
 
[emoji856][emoji856]
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…