Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ushajiona star humu we pimbi! Ujinga wa kuuza odds kawapelekee facebook huko
nimeanza kuwa star kabla ya kuja duniani, majiran walikuwa wana wanaambiana mke wa kiongoz flan ana mimba bas nikawa maarufu mji mzima hapo kabla sijazaliwa kuhusu kwenda fb, jf na fb yote mitandao asante kwa ushauri wako broo hutaki acha vya bure ghalama
 
Uzoefu unaonyesha siku nzuri za kumpiga kanji ni alhamisi. Hasa zile game za europa na comferrence. Jikiteni hapo, direct win zipo wazi kabisa na odds ni nzuri. Goals 2 yaani zipo wazi kabisa.
German teams zote zinashinda. Sportin lisbon anashinda. Kuweni makini na timu za france.

Niwatakie kazi njema...Ref mwindi yake 1.
Tuonyeshe mikeka uliyo shinda
 
5.38 odds

hi punters im free today[emoji4]

tuanze na hii
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240223_114145.jpg
 
Fala tu kumbe ww yaani umekula pesa had umechoka alafu unakuja kutafuta pesa humu za kuuza Odds utafikili ww ndo unacheza hizo mechi ??
haya kajambe mbele huko humu hakuna wa kununua odds
tatizo una roho ya uchawi baba ushawai kumwona mchawi anapenda maendeleo ya mwenzake mtu hunijui sikujui bado unakeleka na mambo yasiyokuhusu nazan hujanijua vizur
 
Wakuu nifundishen kubet maana mi selewi mara gg mara double chance, naombeni mnieleweshe mana manzi yangu anakalamika hela ya kusuka
 
Back
Top Bottom