ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Tutale tuu
Game za Leo zimenunuliwa
Game za Leo zimenunuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushajiona star humu we pimbi! Ujinga wa kuuza odds kawapelekee facebook hukoofa ofa odd 5 ni elfu kumi odd 100 buku 30 unatoa nusu ukiwin unamalizia ni muda wowote natoa odd
tumekula pesaa weee mpaka tumechoka kwan nikiwasaidia wengine kuna ubaya gani? au nile mwenyeweAcha ufala fanya kazi na ubeti utajirike wewe
nimeanza kuwa star kabla ya kuja duniani, majiran walikuwa wana wanaambiana mke wa kiongoz flan ana mimba bas nikawa maarufu mji mzima hapo kabla sijazaliwa kuhusu kwenda fb, jf na fb yote mitandao asante kwa ushauri wako broo hutaki acha vya bure ghalamaUshajiona star humu we pimbi! Ujinga wa kuuza odds kawapelekee facebook huko
laki moja nnayounahela kias gan hapo nikupe pesa
Fala tu kumbe ww yaani umekula pesa had umechoka alafu unakuja kutafuta pesa humu za kuuza Odds utafikili ww ndo unacheza hizo mechi ??tumekula pesaa weee mpaka tumechoka kwan nikiwasaidia wengine kuna ubaya gani? au nile mwenyewe
Tuonyeshe mikeka uliyo shindaUzoefu unaonyesha siku nzuri za kumpiga kanji ni alhamisi. Hasa zile game za europa na comferrence. Jikiteni hapo, direct win zipo wazi kabisa na odds ni nzuri. Goals 2 yaani zipo wazi kabisa.
German teams zote zinashinda. Sportin lisbon anashinda. Kuweni makini na timu za france.
Niwatakie kazi njema...Ref mwindi yake 1.
mtafute wakala romanoNataka kudeposit 1xbet sioni link ya airtel nyie wanazengo wenzangu mnadeposit vipi
Anafungwa na akibahatisha sana drooSimba atafanya nini leo au atafanywa nini lro
tatizo una roho ya uchawi baba ushawai kumwona mchawi anapenda maendeleo ya mwenzake mtu hunijui sikujui bado unakeleka na mambo yasiyokuhusu nazan hujanijua vizurFala tu kumbe ww yaani umekula pesa had umechoka alafu unakuja kutafuta pesa humu za kuuza Odds utafikili ww ndo unacheza hizo mechi ??
haya kajambe mbele huko humu hakuna wa kununua odds
Hiyo ni wikiend special....spend what u got🍻Mkuu hii code umejiwekea tim tu ama vipi?