Mental illnessHumu hakuna mtabiri zaidi yangu sema watu mnachukii mpaka sasa nimeuza odd kwa watu 80 na wote wamewin nyie chula endeleen kulia lia sijui braiton sijui man unit mtajua wenyewe ka laki mbili kangu kakuuza odd wana wamepata mamilion ya pesa mi ngoja nikajilewee, nawauliza tena hv kuna siku nimeleta humu utabir ukafeli kama tu wa juz nimewatajia had idad ya magori na bado mmekaza fuvu maninar endeleen kuliwa
Msiitaje hiyo timu jamani,,,, dah 😭Man u ni kucheza corners na offsides.. hapo hakunyimi pesa hagmta kidgo....
Ila ushind ni tia maji tia maji
Leo ni siku ya inter kuliza watu
Mi napita kila siku ila sioni umuhimu wa kuandikaMkuu humu ndani huonekani, au unapita kimyakimya
Wahi kwa wakalaaa... leo ni mpaka tusemeee[emoji16][emoji16]Kazi nzuri juve unafanya[emoji23]
Hii option unaweza kuiona nyepesi kwa kuiangalia ila muhindi hana dogo