Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Yaani Tp Mazembe akiongeza bao tu ataninyima pesa ndefu sana aiseee
Ingekuwa enzi zetu za mwalimu ningebinya korodani hadi ziwake moto [emoji23]
[emoji24][emoji24][emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Tp Mazembe akiongeza bao tu ataninyima pesa ndefu sana aiseee
Ingekuwa enzi zetu za mwalimu ningebinya korodani hadi ziwake moto [emoji23]
Ujue hapa kwenye jukwaa la mikeka kuna watu wanasoma maoni kimya kimya halafu wanaweka pesa na hawaandiki chochote.Apa Atuna utim mkuu wenye elim izi ndio wataelewa nini lilicho andika
Hivi kuna watu kabisa wanawekaga Mikeka kwa kufuata hayo Mautabiri ya nyotaUjue hapa kwenye jukwaa la mikeka kuna watu wanasoma maoni kimya kimya halafu wanaweka pesa na hawaandiki chochote.
Sasa wewe ndugu yetu na nyota zako jana umewaingiza cha kike watu wa namna hii.
ULIFELI KWA 100% na utabiri wako.
1. Ulisema simba na mpinzani watatoka draw ya kufungana, haikutokea draw ya namna hiyo.
2. Ulisema simba anaweza kufa 2:1 haikutokea, ulifeli.
3. Ulisema timu zote zitapata magoli, haikutokea.
NINACHOWEZA KUSEMA
Betting kupitia mpira wa miguu haitabiriwi kwa nyota, tusidanganyane kabisa.
Hii ni kwa sababu vitu vinavyoweza kubadilisha matokeo ni vingi, mfano! kuna;
1. refa
2. kocha
3. timu kama timu
4. mchezaji mmoja mmoja anaweza kubadili kabisa matokeo.
5. hali ya hewa
Kazingua sana huyo mbwaHili li timu nisipoliweka linashinda Leo nimelipa double chance dk 90+7 linafungwa mamake
Kashinda lakini 2-1Man u mamamaeeee
UTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA CR Belouzdad TAREHE 24/02/2024
Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Mashuke.
HALI ZA TIMU KINYOTA
CR Belouzdad tunawaweka ktk nyota ya Mapacha na Yanga ktk nyota ya Punda, siku hii nyota hizi zitakuwa na Hali sawa kinyota.
HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa CR Belouzdad ana nyota ya Mashuke, Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale ambayo itakuwa na bahati siku hii.
HALI ZA MAKIPA
CR Belouzdad ina MAKIPA watatu ambao Wana nyota za Ng'ombe na ndoo, kipa mwenye nyota ya Ng'ombe kulingana na kikosi Chao hatakuwepo hivyo watakuwa wawili wote ni ndoo hivyo Wana bahati siku hii.
MAKIPA wa Yanga wao Wana nyota za Samaki, Mshale na ndoo wote Wana bahati.
MATOKEO YA MCHEZO
Mchezo huu utakuwa mgumu Sana haswa kulingana na uwiano wa kinyota na mwisho tunashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
Kama nyita zingekuwa zinatoa matokeo basi kina sheikh yahaya wangekufa hali ya kuwa ni mabilioneaUjue hapa kwenye jukwaa la mikeka kuna watu wanasoma maoni kimya kimya halafu wanaweka pesa na hawaandiki chochote.
Sasa wewe ndugu yetu na nyota zako jana umewaingiza cha kike watu wa namna hii.
ULIFELI KWA 100% na utabiri wako.
1. Ulisema simba na mpinzani watatoka draw ya kufungana, haikutokea draw ya namna hiyo.
2. Ulisema simba anaweza kufa 2:1 haikutokea, ulifeli.
3. Ulisema timu zote zitapata magoli, haikutokea.
NINACHOWEZA KUSEMA
Betting kupitia mpira wa miguu haitabiriwi kwa nyota, tusidanganyane kabisa.
Hii ni kwa sababu vitu vinavyoweza kubadilisha matokeo ni vingi, mfano! kuna;
1. refa
2. kocha
3. timu kama timu
4. mchezaji mmoja mmoja anaweza kubadili kabisa matokeo.
5. hali ya hewa
Huoni leo alitabiri yanga kupoteza au kutoa draw ya kufungana.Kama nyita zingekuwa zinatoa matokeo basi kina sheikh yahaya wangekufa hali ya kuwa ni mabilionea
Aston villa leo kampasua mtu goli tatu mfululizoDaah nikasema nijiunge group la 1.5 odds..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani kanji mbwa jamani.. Odd 1.03 anachanaaa aiseee
Kaniharibia kazi pia fenaHutu fenebache ni Mimi tu nilimuweka au na nyinyi huko [emoji57]