mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Hakuna mshirikina aliefanikiwa hata mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mshirikina aliefanikiwa hata mmoja
Pila linachezwa uwanjani maswala ya nyota bila uwezo utoboi, me sielewi cjui hzo nyota znacheza namba ngapi uwanjaniUTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA CR Belouzdad TAREHE 24/02/2024
Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Mashuke.
HALI ZA TIMU KINYOTA
CR Belouzdad tunawaweka ktk nyota ya Mapacha na Yanga ktk nyota ya Punda, siku hii nyota hizi zitakuwa na Hali sawa kinyota.
HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa CR Belouzdad ana nyota ya Mashuke, Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale ambayo itakuwa na bahati siku hii.
HALI ZA MAKIPA
CR Belouzdad ina MAKIPA watatu ambao Wana nyota za Ng'ombe na ndoo, kipa mwenye nyota ya Ng'ombe kulingana na kikosi Chao hatakuwepo hivyo watakuwa wawili wote ni ndoo hivyo Wana bahati siku hii.
MAKIPA wa Yanga wao Wana nyota za Samaki, Mshale na ndoo wote Wana bahati.
MATOKEO YA MCHEZO
Mchezo huu utakuwa mgumu Sana haswa kulingana na uwiano wa kinyota na mwisho tunashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
KWANINI
Mpira huu utachezwa muda ambao mwezi tayari utakuwa umeingia ktk nyota ya Mashuke.
Mzee Mwenzangu naona bado upo unalikimbiza gurudumu[emoji41]Hii ni ngumu kumeza
View attachment 2911245
CK9RL
Stake what you can afford to lose [emoji120][emoji120][emoji120]
Weekends mara nyingi mifumo huwa inazingua mnooMeridian Leo wametuweza yangu asubuhi haifunguki
Leo ambapo ndio siku YA wakamalia Saturday..nilikuwa Na deposit YA 50,000 Ila ndio hivyo huwezi kuingia
Mnabetia meridian hadi leoo[emoji16][emoji16][emoji16]Meridian Leo wametuweza yangu asubuhi haifunguki
Leo ambapo ndio siku YA wakamalia Saturday..nilikuwa Na deposit YA 50,000 Ila ndio hivyo huwezi kuingia
Uto leo ana nafasi kubwa ya kushindaWakubwa kwema?
Poleni na mapambano dhidi ya Kanjibai.
Mnaionaje mechi ya Uto na Waarabu?
Mimi huwa napenda single game na-stake high...
Leo nataka nimpe Uto ashinde nataka kuweka 500k naona ana odds nzuri 2.10
Ushauri wenu.
Wanao stake hela nyingi huwaga Hawajisifiii , Wewe weka hiyo elfu 5 uxhinde 10, sisi kushinda ni mapemaWakubwa kwema?
Poleni na mapambano dhidi ya Kanjibai.
Mnaionaje mechi ya Uto na Waarabu?
Mimi huwa napenda single game na-stake high...
Leo nataka nimpe Uto ashinde nataka kuweka 500k naona ana odds nzuri 2.10
Ushauri wenu.
Achaga hizo weweUTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA CR Belouzdad TAREHE 24/02/2024
Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Mashuke.
HALI ZA TIMU KINYOTA
CR Belouzdad tunawaweka ktk nyota ya Mapacha na Yanga ktk nyota ya Punda, siku hii nyota hizi zitakuwa na Hali sawa kinyota.
HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa CR Belouzdad ana nyota ya Mashuke, Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale ambayo itakuwa na bahati siku hii.
HALI ZA MAKIPA
CR Belouzdad ina MAKIPA watatu ambao Wana nyota za Ng'ombe na ndoo, kipa mwenye nyota ya Ng'ombe kulingana na kikosi Chao hatakuwepo hivyo watakuwa wawili wote ni ndoo hivyo Wana bahati siku hii.
MAKIPA wa Yanga wao Wana nyota za Samaki, Mshale na ndoo wote Wana bahati.
MATOKEO YA MCHEZO
Mchezo huu utakuwa mgumu Sana haswa kulingana na uwiano wa kinyota na mwisho tunashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
KWANINI
Mpira huu utachezwa muda ambao mwezi tayari utakuwa umeingia ktk nyota ya Mashuke.
since 2013 na kampuni yangu pendwaaaaMnabetia meridian hadi leoo[emoji16][emoji16][emoji16]
Apa Atuna utim mkuu wenye elim izi ndio wataelewa nini lilicho andikaPila linachezwa uwanjani maswala ya nyota bila uwezo utoboi, me sielewi cjui hzo nyota znacheza namba ngapi uwanjani
Wapi nimejisifia?Wanao stake hela nyingi huwaga Hawajisifiii , Wewe weka hiyo elfu 5 uxhinde 10, sisi kushinda ni mapema
Wakubwa kwema?