Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

UTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA CR Belouzdad TAREHE 24/02/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Mashuke.

HALI ZA TIMU KINYOTA

CR Belouzdad tunawaweka ktk nyota ya Mapacha na Yanga ktk nyota ya Punda, siku hii nyota hizi zitakuwa na Hali sawa kinyota.

HALI ZA MAKOCHA

Kocha wa CR Belouzdad ana nyota ya Mashuke, Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale ambayo itakuwa na bahati siku hii.

HALI ZA MAKIPA

CR Belouzdad ina MAKIPA watatu ambao Wana nyota za Ng'ombe na ndoo, kipa mwenye nyota ya Ng'ombe kulingana na kikosi Chao hatakuwepo hivyo watakuwa wawili wote ni ndoo hivyo Wana bahati siku hii.
MAKIPA wa Yanga wao Wana nyota za Samaki, Mshale na ndoo wote Wana bahati.

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo huu utakuwa mgumu Sana haswa kulingana na uwiano wa kinyota na mwisho tunashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
KWANINI
Mpira huu utachezwa muda ambao mwezi tayari utakuwa umeingia ktk nyota ya Mashuke.
Pila linachezwa uwanjani maswala ya nyota bila uwezo utoboi, me sielewi cjui hzo nyota znacheza namba ngapi uwanjani
 
Meridian Leo wametuweza yangu asubuhi haifunguki

Leo ambapo ndio siku YA wakamalia Saturday..nilikuwa Na deposit YA 50,000 Ila ndio hivyo huwezi kuingia
 
2683FE9 bp
Odds 7+
Game kuanza saa 10 jion mwisho saa 5 usiku
Teams 10+ but less 25

NB
Kuna m/wachawi kwenye huu mkeka nimeshindwa kum/wajua, nimeenda sehem nne tofauti kuweka hela kati ya hizo sehemu 3 hawana chenchi sehemu moja jamaa sijamkuta.
Nahisi hela yangu inaokolewa kwa namna flani.

Mchekini huyo Man U na hawa wa club bingwa Africa
 
ANGALIZO :- KUNDI LA MATAPELI

A ) Hawa wa Nyota,sijui Ushuzi gani
B) Wale wa Sure odds
C) Wale sijui nimekula milioni,mara kila siku nampasua muhindi

Hilo kundi limefelli kimaisha

Kuna style kibaoooo za usanii,hasa hawa new comers,tuliosoma Secondary tunawaita Miswaki.

Wanaanzia mbaaaali mnoo,then taratiiiibu wanategemea watu kuwaelewa kwa akili zao zilivyo ndogo ila watu nao humu wanawaona makatuni FULANI hivi.
Yaani wanajiona kwamba wanatumia nguvu kubwa na njia sahihi za ushawishi kumbe watu wanaona ni Shake headed

Shida nikiwamba this is a group of GREAT THINKERS na mostly wengi group hili Shule ipo,na hao wasaniii wanakuja na issue za kiboyaaaa,WAHA wasema VIRANDAGE🤣🤣🤣🤣

Members Wakongwe tunawaona ni sehem ya Entertainment ya Wajinga na Wapumvavu.But ni Psychological issues acha wajitibu.

Endeleeeni kupoteza Muda kubariki UJINGA wenu kizamani
 
Set and edit as much as you can

Screenshot_20240224-103435.png
 
Meridian Leo wametuweza yangu asubuhi haifunguki

Leo ambapo ndio siku YA wakamalia Saturday..nilikuwa Na deposit YA 50,000 Ila ndio hivyo huwezi kuingia
Mnabetia meridian hadi leoo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wakubwa kwema?

Poleni na mapambano dhidi ya Kanjibai.

Mnaionaje mechi ya Uto na Waarabu?

Mimi huwa napenda single game na-stake high...

Leo nataka nimpe Uto ashinde nataka kuweka 500k naona ana odds nzuri 2.10

Ushauri wenu.
 
Uto leo ana nafasi kubwa ya kushinda
 
Wakubwa kwema?

Poleni na mapambano dhidi ya Kanjibai.

Mnaionaje mechi ya Uto na Waarabu?

Mimi huwa napenda single game na-stake high...

Leo nataka nimpe Uto ashinde nataka kuweka 500k naona ana odds nzuri 2.10

Ushauri wenu.
Wanao stake hela nyingi huwaga Hawajisifiii , Wewe weka hiyo elfu 5 uxhinde 10, sisi kushinda ni mapema
 
UTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA CR Belouzdad TAREHE 24/02/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Mashuke.

HALI ZA TIMU KINYOTA

CR Belouzdad tunawaweka ktk nyota ya Mapacha na Yanga ktk nyota ya Punda, siku hii nyota hizi zitakuwa na Hali sawa kinyota.

HALI ZA MAKOCHA

Kocha wa CR Belouzdad ana nyota ya Mashuke, Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale ambayo itakuwa na bahati siku hii.

HALI ZA MAKIPA

CR Belouzdad ina MAKIPA watatu ambao Wana nyota za Ng'ombe na ndoo, kipa mwenye nyota ya Ng'ombe kulingana na kikosi Chao hatakuwepo hivyo watakuwa wawili wote ni ndoo hivyo Wana bahati siku hii.
MAKIPA wa Yanga wao Wana nyota za Samaki, Mshale na ndoo wote Wana bahati.

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo huu utakuwa mgumu Sana haswa kulingana na uwiano wa kinyota na mwisho tunashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
KWANINI
Mpira huu utachezwa muda ambao mwezi tayari utakuwa umeingia ktk nyota ya Mashuke.
Achaga hizo wewe
Mpira una matokeo matatu
 
Yaani Tp Mazembe akiongeza bao tu ataninyima pesa ndefu sana aiseee

Ingekuwa enzi zetu za mwalimu ningebinya korodani hadi ziwake moto [emoji23]
 
Wakubwa kwema?

Poleni na mapambano dhidi ya Kanjibai.

Mnaionaje mechi ya Uto na Waarabu?

Mimi huwa napenda single game na-stake high...

Leo nataka nimpe Uto ashinde nataka kuweka 500k naona ana odds nzuri 2.10

Ushauri wenu.

Hii game ni very very unpredictable aisee

Waarabu ni washenzi sana mbinu zao zikifeli utashangaa wanakufa hata bao 3
Lakini zikifanikiwa ni draw au wanashinda kimoko tu

Hizi sio aina ya game za kujilipua...... hakuna under dog hapo
 
Back
Top Bottom