Luigi Mangione
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 568
- 1,028
umekiona kikosi chao mkuu?Mbona Liver kashinda kamoko?
Thats mejiko mr mashukeUTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA CR Belouzdad TAREHE 24/02/2024
Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Mashuke.
HALI ZA TIMU KINYOTA
CR Belouzdad tunawaweka ktk nyota ya Mapacha na Yanga ktk nyota ya Punda, siku hii nyota hizi zitakuwa na Hali sawa kinyota.
HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa CR Belouzdad ana nyota ya Mashuke, Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale ambayo itakuwa na bahati siku hii.
HALI ZA MAKIPA
CR Belouzdad ina MAKIPA watatu ambao Wana nyota za Ng'ombe na ndoo, kipa mwenye nyota ya Ng'ombe kulingana na kikosi Chao hatakuwepo hivyo watakuwa wawili wote ni ndoo hivyo Wana bahati siku hii.
MAKIPA wa Yanga wao Wana nyota za Samaki, Mshale na ndoo wote Wana bahati.
MATOKEO YA MCHEZO
Mchezo huu utakuwa mgumu Sana haswa kulingana na uwiano wa kinyota na mwisho tunashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
KWANINI
Mpira huu utachezwa muda ambao mwezi tayari utakuwa umeingia ktk nyota ya Mashuke.
Nenda mnakoliwa kimasihara mkuuhuu uzi nauchukia mno. ningekuwa na uwezo ningeufuta
Leo muda bado !!Hayaaa kesho tenaa Mkadeposit jamanii Kanji anahitaji helaa zenu bado[emoji16][emoji16][emoji16]
na mtapigwa mpaka mchakae pumbavu nyny wajinga nn hakuna siku niliweka odd ikafel hapa mkiambiwa mchangie mnaleta upuuz na kuona watu matapel endeleen kuliwa afu kesho mje natoa odd 1500 za bure ni uhakikaKwenye betting nilichojifunza kuweka odd ndogo haikupi garantee ya kushinda wakati mwingine tunakimbilia odd ndogo na kuacha kubwa na bado tunaangukia pu
Acha kutuona sisi mandezi , kalisha pumbu zako mzee!! Hakuna wa kununua odd
liver kashinda ila mikeka inaonesha lost sijui nini maana yakeumekiona kikosi chao mkuu?
watoto under 20. walikua 7 uwanjani......
Nabii hujui hata sheria, ulimpa ashinde au afuzu?liver kashinda ila mikeka inaonesha lost sijui nini maana yake
ila mi kukusanya hela zenu kwa kuwauzia odd munichangie kijana mwenzenu hela ya kutomber hamtaki haya twenden kwa mwamposaa tukauziwe......Sema life bhana,,, namsikia mwamposa anavyokusanya pesa kingese kupitia tv ya jirani,,,, ila maisha nyie
liver kashinda moja sijaelewa kwanini kwenye betting wamemlost hebu google mech ya chelse na liver utapata matokeouliangalia list ya majeruhi ya liverpool mkuu?
yani kupata draw kwa kikosi cha leo wamejitahidi sana, 1st eleven yote wapo wodini (ulitegemea watakupa chochote?)
wewe umeanza kubeti lini?? husomagi sheria zao muhindi anahesabu dakika 90 tu za ndani ya mchezo za ziadi kama extra huwa haesabii.liver kashinda moja sijaelewa kwanini kwenye betting wamemlost hebu google mech ya chelse na liver utapata matokeo
aanh mkuu nabii huwa habeti ila anawapa wafuasi maono yake, maono yangu kwenu kwa liver atashinda na kashinda moja sasa hizo sheria na unabii ni vitu viwil tofauti,,,ninachojua liver kashinda moja au walifungia mikono badala ya miguu?Nabii hujui hata sheria, ulimpa ashinde au afuzu?
enyi kizaz msicho na imani kwa hali hy muhindi tapeli,, nawaambia kabla jua alijachomoza mtanisaliti kwa kuniita tapel na kumuacha muhindi anawewe umeanza kubeti lini?? husomagi sheria zao muhindi anahesabu dakika 90 tu za ndani ya mchezo za ziadi kama extra huwa haesabii.
anashinda mkuu je nikutajie magoliTunaomba mdeposit wakuu,Madrid apite nayo. Msichoke