Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

UTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA CR Belouzdad TAREHE 24/02/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Mashuke.

HALI ZA TIMU KINYOTA

CR Belouzdad tunawaweka ktk nyota ya Mapacha na Yanga ktk nyota ya Punda, siku hii nyota hizi zitakuwa na Hali sawa kinyota.

HALI ZA MAKOCHA

Kocha wa CR Belouzdad ana nyota ya Mashuke, Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale ambayo itakuwa na bahati siku hii.

HALI ZA MAKIPA

CR Belouzdad ina MAKIPA watatu ambao Wana nyota za Ng'ombe na ndoo, kipa mwenye nyota ya Ng'ombe kulingana na kikosi Chao hatakuwepo hivyo watakuwa wawili wote ni ndoo hivyo Wana bahati siku hii.
MAKIPA wa Yanga wao Wana nyota za Samaki, Mshale na ndoo wote Wana bahati.

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo huu utakuwa mgumu Sana haswa kulingana na uwiano wa kinyota na mwisho tunashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
KWANINI
Mpira huu utachezwa muda ambao mwezi tayari utakuwa umeingia ktk nyota ya Mashuke.
Thats mejiko mr mashuke
 

Attachments

  • Screenshot_20240225-212920_SportyBet.jpg
    Screenshot_20240225-212920_SportyBet.jpg
    16.1 KB · Views: 4
Da huu mkeka wangu mwingine sh 100 tu ilikuwa inakuja sh 100000 moja na kitu sema port kupata bao mbili ni ndoto maana mpaka sasa ni 0-0.. [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Screenshot_20240225-222738_SportyBet.jpg
 
Kwenye betting nilichojifunza kuweka odd ndogo haikupi garantee ya kushinda wakati mwingine tunakimbilia odd ndogo na kuacha kubwa na bado tunaangukia pu

Acha kutuona sisi mandezi , kalisha pumbu zako mzee!! Hakuna wa kununua odd
na mtapigwa mpaka mchakae pumbavu nyny wajinga nn hakuna siku niliweka odd ikafel hapa mkiambiwa mchangie mnaleta upuuz na kuona watu matapel endeleen kuliwa afu kesho mje natoa odd 1500 za bure ni uhakika
 
Sema life bhana,,, namsikia mwamposa anavyokusanya pesa kingese kupitia tv ya jirani,,,, ila maisha nyie
ila mi kukusanya hela zenu kwa kuwauzia odd munichangie kijana mwenzenu hela ya kutomber hamtaki haya twenden kwa mwamposaa tukauziwe......
 
uliangalia list ya majeruhi ya liverpool mkuu?
yani kupata draw kwa kikosi cha leo wamejitahidi sana, 1st eleven yote wapo wodini (ulitegemea watakupa chochote?)
liver kashinda moja sijaelewa kwanini kwenye betting wamemlost hebu google mech ya chelse na liver utapata matokeo
 
Nabii hujui hata sheria, ulimpa ashinde au afuzu?
aanh mkuu nabii huwa habeti ila anawapa wafuasi maono yake, maono yangu kwenu kwa liver atashinda na kashinda moja sasa hizo sheria na unabii ni vitu viwil tofauti,,,ninachojua liver kashinda moja au walifungia mikono badala ya miguu?
 
wewe umeanza kubeti lini?? husomagi sheria zao muhindi anahesabu dakika 90 tu za ndani ya mchezo za ziadi kama extra huwa haesabii.
enyi kizaz msicho na imani kwa hali hy muhindi tapeli,, nawaambia kabla jua alijachomoza mtanisaliti kwa kuniita tapel na kumuacha muhindi ana
 
Back
Top Bottom