Mbona watu humu ukitoa mbinu wana tukana na kukataa [emoji16]Wanaofanya screenshot ili waaminishe watu kua wanashinda ni matapeli tu
Binadamu tuna hulka ya roho mbaya ndo maana tajiri hawezi kukupa mbinu zake za mafanikio, Nina uhakika mtu angekua kweli anajua pa kupata fixed odds(ambazo kiuhalisia hazipo) basi angekaa kimya na kujipigia hela mwenyewe Wala asingethubutu ku share na watu wengine kamwe
Odds tamu sana hizi sema mikeka ya odds kubwa namna hii ina mbinu zake za kutengeneza ambazo humu jf hakuna hata mmoja anazitumia ndiyo maana tuna lose .....mimi ninajua mbinu tatizo ni muda wa kufanya hiyo kazi yq kutengeneza mikeka kwa kutumia hiyo mbinu sina kutokana na kubanwa na kazi.77D0C1A
A83C674
Sporty
Mkuu hebu tumegee kidogoOdds tamu sana hizi sema mikeka ya odds kubwa namna hii ina mbinu zake za kutengeneza ambazo humu jf hakuna hata mmoja anazitumia ndiyo maana tuna lose .....mimi ninajua mbinu tatizo ni muda wa kufanya hiyo kazi yq kutengeneza mikeka kwa kutumia hiyo mbinu sina kutokana na kubanwa na kazi.
Mkuu tafuta muda utupe madini hayo tumpige kanji.Odds tamu sana hizi sema mikeka ya odds kubwa namna hii ina mbinu zake za kutengeneza ambazo humu jf hakuna hata mmoja anazitumia ndiyo maana tuna lose .....mimi ninajua mbinu tatizo ni muda wa kufanya hiyo kazi yq kutengeneza mikeka kwa kutumia hiyo mbinu sina kutokana na kubanwa na kazi.
Sportbety Kwanza ilikuwa 1.63 kwa Simba then wakaitoa kabisaa kisha kuileta tu ikashuka mazimaa .Hawa jamaa ni qumer sana. Jana waliweka 1.57 kwa Simba halafu wakaichomoa haraka na kuweka 1.28. Na mechi ya Yanga hata kama wakiweka wataipa 1.11. Hawa makenge wanatusumbua sana aisee!
Hawa watu ni wapuuzi sana sijapata kuonaSportbety Kwanza ilikuwa 1.63 kwa Simba then wakaitoa kabisaa kisha kuileta tu ikashuka mazimaa .
Azam wameiweka leo Asubuhi
Yanga naona wataiweka kesho
Mkuu hili kokoro?
niliweka mtaji wotw kwake ili game yake ikiisha na hii ya azam mzigo nipeleke uefa na championship.......Simba Leo Amelia nyau dah! Sijui Mimi wa double chance 1x inakuwaje