Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana pia sikupost mikeka humu nimekula mikeka 6 na kukosa 3 lakini ilikuwa ni odds kati ya 10 na 28 tu ...sijui kwanini nikipost humu jf napata mikosi ya lose [emoji856] hiyo mikeka yote 9 nilichezea sh 2800 tu nimevuna sh 45000View attachment 2925760
 
Attachments

  • Screenshot_20240306-084851_SportyBet.jpg
    Screenshot_20240306-084851_SportyBet.jpg
    26.1 KB · Views: 6
Muda sio mrefu JF Group litarudi ktk ubora wake.

Maaana wapigaji na wasakaji watu imekuwa Ngoma ngum,aisee Maisha haya🤣🤣🤣🤣

Ngoja nimalizie Codes Zangu mbili nitupie humu,Ila Sportbety Mechi ya YANGA naona bado,wanakera kweli,maana Ya Simba yenyewe Jana iliwekwa kisha wakatoa kisha wakaresha na Azam kwa Jana hawakuiweka kabisaaaa mpaka leo
Wanajua watu wataunga mitren ya siku mbili
 
Wanaofanya screenshot ili waaminishe watu kua wanashinda ni matapeli tu

Binadamu tuna hulka ya roho mbaya ndo maana tajiri hawezi kukupa mbinu zake za mafanikio, Nina uhakika mtu angekua kweli anajua pa kupata fixed odds(ambazo kiuhalisia hazipo) basi angekaa kimya na kujipigia hela mwenyewe Wala asingethubutu ku share na watu wengine kamwe
Mbona watu humu ukitoa mbinu wana tukana na kukataa [emoji16]
 
77D0C1A
A83C674
Sporty
Odds tamu sana hizi sema mikeka ya odds kubwa namna hii ina mbinu zake za kutengeneza ambazo humu jf hakuna hata mmoja anazitumia ndiyo maana tuna lose .....mimi ninajua mbinu tatizo ni muda wa kufanya hiyo kazi yq kutengeneza mikeka kwa kutumia hiyo mbinu sina kutokana na kubanwa na kazi.
 
Mkuu hebu tumegee kidogo
 
Mkuu tafuta muda utupe madini hayo tumpige kanji.
Tunamdai hela nyingi sana hadi sasa.
 
Hawa jamaa ni qumer sana. Jana waliweka 1.57 kwa Simba halafu wakaichomoa haraka na kuweka 1.28. Na mechi ya Yanga hata kama wakiweka wataipa 1.11. Hawa makenge wanatusumbua sana aisee!
Sportbety Kwanza ilikuwa 1.63 kwa Simba then wakaitoa kabisaa kisha kuileta tu ikashuka mazimaa .

Azam wameiweka leo Asubuhi

Yanga naona wataiweka kesho
 
Back
Top Bottom