Noma sana mkuuniliweka mtaji wotw kwake ili game yake ikiisha na hii ya azam mzigo nipeleke uefa na championship.......
matokeo yake simba katembea na mtaji, leo nalala hakuna cha kudeposit mpk kesho
[emoji23]Kuna jamaa mchana hapa walikuwa wanalalamika Simba wameshusha Odd kwani walitaka wamuwekee mzigo!!
Muda mwingine tunaepushwa na matatizo lakini tunayakimbilia wenyewe
Huyo Bellingham leo cjuiPhoden na Beligham wakifunga Leo Wana odds5
Dah! Nimecheka sana. Kumbe kuna watu anaweza kujitambulisha kabisa kwamba kazi yake ni kubeti!Kwenu wazee wa kubet
Dah! Nimecheka sana. Kumbe kuna watu anaweza kujitambulisha kabisa kwamba kazi yake ni kubeti!
Mikeka inaendaje pande hizo?.nipo mzee
niniBp
1DD624B
Magoli tunini
Liverpool apo Leo Mungu turehemu na Yale majeruhi yake na timu anayo cheza nayo sio nyepesi kihivooo ukizingatia pia game ya weekend dhidi ya man city inamsubiriTeam za leo zenye matumaini
liverpool
bayern leverkusen
asec mimosas
dynamo kiev
fiorentina
aston villa
olympiakos
Tsc backa topola