Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

niliweka mtaji wotw kwake ili game yake ikiisha na hii ya azam mzigo nipeleke uefa na championship.......

matokeo yake simba katembea na mtaji, leo nalala hakuna cha kudeposit mpk kesho
Noma sana mkuu
 
Mikeka yoote niliyooost Mchana nilikimbia mnoo Mechi ya SIMBA na sikuiweka

Niliona ubadilikaji wa zile Odds kiajabu Ajabu nikajua mambo yamepanguka.

SIMBA OYEEE halafu eti hata Mamelod ajeeee tunamtaka,yaani nyie Simba niwape Win mbele ya Mamelod?Acha mpira udunde ila usidundie kwenye pesa Yangu
 
Kwenu wazee wa kubet
 

Attachments

  • Screenshot_20240305-071200_Instagram.jpg
    Screenshot_20240305-071200_Instagram.jpg
    199.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240304-193051_Instagram.jpg
    Screenshot_20240304-193051_Instagram.jpg
    278.5 KB · Views: 9
Back
Top Bottom