Huo mkeka ulikuwa ngumu kumeza ndani yske kulikuwa na hii pia nimecheza single odds 8 ila ime tiki tuendelee kucheza ngumu kumeza ili na sisi tule pesa za mamilioni maana uwezi kula mamilioni kama uchezi michezo yenye msmilioni mimi mwenyewe hiyo mechi imenichania mikeka 3 [emoji56]Oya Lwiva mkeka wako WA game 17 niliufata ila nilifanya edit kidogo nikaacha Augsburg to score both have kaiharibia nilikuwa nampiga 2m huyu kanjibai sijacheza zote 17 huyu Jamaal ndo kaua
Hiyo niliweka total over 2.5Huo mkeka ulikuwa ngumu kumeza ndani yske kulikuwa na hii pia nimecheza single odds 8 ila ime tiki tuendelee kucheza ngumu kumeza ili na sisi tule pesa za mamilioni maana uwezi kula mamilioni kams uchezi michezo yenye msmilioniView attachment 2929900
Me ndomaan skuiz nastake odds kubwa tu maan unachagua saan Mwisho wa sku unaangukia kwa ataleticoHuyu muhundi atakua mchawi sio bure, matako yake Yan mechi elfu moja na kitu siku ya leo nakosa odds 3! Kanji achunguzwe anatumia mashetani atatuua mbwa huyu [emoji119]
mkuu nsaidie ka mtajiNilituma code kwa alofuata anaweza cashout ama angoje Spurs kesho
Pmmkuu nsaidie ka mtaji
nawaza kuweka over 1.5 mechi zotewazee wa kuchagua nipeni best 5 hapa niweke Hati ya nyumba
View attachment 2929972
Pole sana mkuu..ila una kitu,usikate tamaa.Uchawi upo! One day yes. Learn or hate View attachment 2929958
Feyenord, Sporting Cp, real Madrid,club brugge, PSG, Ac milanwazee wa kuchagua nipeni best 5 hapa niweke Hati ya nyumba
View attachment 2929972
Si umeshazifanyia uchambuzi kablanawaza kuweka over 1.5 mechi zote