Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeambulia hii single bet tena ilikuwepo kwenye katreni yangu ngumu kumeza bora nimerudisha pesa yangu niliyo betia leo
Screenshot_20240309-230258_SportyBet.jpg
 
Oya Lwiva mkeka wako WA game 17 niliufata ila nilifanya edit kidogo nikaacha Augsburg to score both have kaiharibia nilikuwa nampiga 2m huyu kanjibai sijacheza zote 17 huyu Jamaal ndo kaua
Huo mkeka ulikuwa ngumu kumeza ndani yske kulikuwa na hii pia nimecheza single odds 8 ila ime tiki tuendelee kucheza ngumu kumeza ili na sisi tule pesa za mamilioni maana uwezi kula mamilioni kama uchezi michezo yenye msmilioni mimi mwenyewe hiyo mechi imenichania mikeka 3 [emoji56]
Screenshot_20240309-230258_SportyBet.jpg
 
Back
Top Bottom