Hiyo ni hatareee ni ngumu kumeza cheki hizi picha mbili utspsta majibu ya swali lakoWadau GG2+ Ina maana ya wafungane na magoli yatoke mawili kuendelea au matatu kuendelea, ufafanuzi kidogo
Mawili kuendelea kwa kila timuWadau GG2+ Ina maana ya wafungane na magoli yatoke mawili kuendelea au matatu kuendelea, ufafanuzi kidogo
wafungane na over 1.5Wadau GG2+ Ina maana ya wafungane na magoli yatoke mawili kuendelea au matatu kuendelea, ufafanuzi kidogo
GG2+ Means..kila timu ipate goli kuanzia 2..mfano 2-2,2-3,3-3,4-2...Ila ikiwa 2-1,3-1,1-1 umepigwa mkuu.Wadau GG2+ Ina maana ya wafungane na magoli yatoke mawili kuendelea au matatu kuendelea, ufafanuzi kidogo
NimekupataHiyo ni hatareee ni ngumu kumeza cheki hizi picha mbili utspsta majibu ya swali lakoView attachment 2929989View attachment 2929990
Sawa sawaGG2+ Means..kila timu ipate goli kuanzia 2..mfano 2-2,2-3,3-3,4-2...Ila ikiwa 2-1,3-1,1-1 umepigwa mkuu.
Umekoseawafungane na over 1.5
Ni sawa na [over 3.5 and both team over 1.5]Nimekupata
44F2C04 edited1B67382