Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau GG2+ Ina maana ya wafungane na magoli yatoke mawili kuendelea au matatu kuendelea, ufafanuzi kidogo
 
Wadau GG2+ Ina maana ya wafungane na magoli yatoke mawili kuendelea au matatu kuendelea, ufafanuzi kidogo
Hiyo ni hatareee ni ngumu kumeza cheki hizi picha mbili utspsta majibu ya swali lako
Screenshot_20240309-230258_SportyBet.jpg
Screenshot_20240310-072719_SportyBet.jpg
 
Wazee wa Galsport, hivi Kuna mtu ana experience tatizo la kushindwa ku-place bet yaani unachagua vizuri timu na kuweka malipo ukibonyeza "PLACE" ngoma inazunguuka alafu inasimama.
 
Naombaeni odds brothers and sisters kampuni betpawa odds mlima ntaedit mwenyewe code please wazeee leo weekend
 
Back
Top Bottom