Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka wanatoa mwisho tsh ngapi wazee wenzangu? Kama kikomo chao....
 
Meridian wana tatizo gani, toka asubuhi nimedraw hela lakini mpka sasa sioni response lolote...nafanyaje mkuu
 
itaingia tu mkuu wala usiwe na shaka huwa inachukua mda kidgo
Daaah asubuhi mepata tatizo broo kakatwa jana nite mapanga, sasa asubuhi mempeleka hospital afu sikuwa na pesa cash, natoa hela meridian ili tupate huduma nw mpaka sasa daah bora hata mkekabet wapo faster.....tukiendelea kumwinda kanji huku tunawaombea pia wagonjwa.

Then mwenye odd hata 8 za uhakika aweke mambo hapa
 
polen aisee,mkeka wako fast kuwithdraw ila meridian inahitaji uvumiliv but soon utaipata
 
Napata ugumu kuona fixture za mbele Meridianbet natumia simu msaada tafadhali mwenye ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…