Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Hujamuelewa,huyo ni msaniii,sasa anapigia debe wapigajiNdo mna danganyana hivi!! Kwenye betting fuatilia team ndo uweke bet sio kubet kijinga hivo.
Ndoman wengi mnaliwa mnabet kimkumbo tu. Wengi hum sio watu wa betting mnafanya mambo ya tamaa na kukurupuka tu na code zinazowekwa.
Nilicashout kipindi cha kwanza fasta....mkeka wa 22M kanichania🤣psg ananikosesha million 7 kwa mia
[emoji1787][emoji1787] hizi hadithi zinachosha snaAston villa kanikosesha tilioni 100
🤣Tuishi tuNilicashout kipindi cha kwanza fasta....mkeka wa 22M kanichania
kama n kweli basi pole xana🤣psg ananikosesha million 7 kwa mia
🤣🤣Ngoja bac nitume screenshot nyie wabishi Sana...Kuna mkeka cjui wa naijeria Kuna mtu alipost una odds 26000 mi nikaweka unatimu ka 40 zimetiki ijumaa jumamosi by the tym psg anacheza zilikuwa zimebaki timu kumi ...ni wa direct huo kina Madrid ajax sporting walikuwepo.. asa cjui ubishi unasaidia Nini ...Aston villa kanikosesha tilioni 100
Sijui ku bet lakini nitafuatilia matokeo ya mkeka wako mkuu.Arouca vs Sportingi Lisbon> over 2.5
Marseile vs nantes >full team over 1.5
CaYB berrechid vs Far rabat> away team over 1.5
Ulm 1846 vs sandhausen> hom team over 0.5
Bayer leverkusen vs wolfsburg> home team over 1.5
Frankfurt vs hoffeinham > hom team over 0.5
Lille vs rennes> full time over 1.5
Fenerbahnce vs pendikspor>hom team over 1.5
Spartak moscow vs fakel> 1x
Nec nijmegen vs heerenven > hom team over 0.5
Odds 10 weka hata roho
Hujamuelewa,huyo ni msaniii,sasa anapigia debe wapigaji
Anashindwa kuelewa kwamba hao anaowasema hawachezi mpira wao
Shortly,ni la chain la Matapeli
Mbn km unajitekenya alafu unackeka mwenyew tilion kampun gn inatoaAston villa kanikosesha tilioni 100
Mkuu huyu Madrid ananipa wasiwasi
Usijali Cards 3 zipo na atashindaMkuu huyu Madrid ananipa wasiwasi