Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Hujamuelewa,huyo ni msaniii,sasa anapigia debe wapigajiNdo mna danganyana hivi!! Kwenye betting fuatilia team ndo uweke bet sio kubet kijinga hivo.
Ndoman wengi mnaliwa mnabet kimkumbo tu. Wengi hum sio watu wa betting mnafanya mambo ya tamaa na kukurupuka tu na code zinazowekwa.
Anashindwa kuelewa kwamba hao anaowasema hawachezi mpira wao
Shortly,ni la chain la Matapeli