Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeruka ruka weeh nikatua kwa spartak ,,,,, nyoko spartak,,,,,
 
Sio rahis kuzikuta kwenye kampun zetu tunazobetia
Huwezi kuzikuta, na ukitaka kubet kwenye hayo makampuni ni hadi uwe na mastercard au visa card, majuzi nilifanya mchakato nikapata visa card ya mpesa, then nikiwa kwenye mchakato wa kudeposit kwenye account nikakutana na kimbembe kwenye ku-verify ID card nilisota siku nzima sikufanikiwa hadi nikaamua ile hela kuirudisha tena kwenye visa yangu
 
Niliufuata nikaweka 5000 cash out inasoma 22000

View attachment 2930700
Vizuri Mdau kwa kuufuata,tupo pamoja

FAR RABAT kule anaongoza goal Moja,na tunasubiria la 2

Then Fiorentina vs Roma,naona Corners over 6.5 so far Dk ya 16 Corners 3,hii inaenda vizuri na Cash out hope imepanda vizuri.Na vile Roma Kaishachapwa mapema basi Corners zitafunguka vizuri mnoo

Acha tuombeane Far rabat na Mwenzie waongeze 1 goal tufunge usiku tumsubirie Messi Asubuhi

Ila fix on target ya kurejesha mtaji ma pesa ya Supu, ikifika Dk 70 au 75 Far rabat hawajaongeza goal basi Cash out ulinde mtaji na hope itakuwa na Faida mara mbili ya Buku 5 Yako.

Ila kama roho ya PAKA kama Yangu,basi acha liende mpaka 90
 
Waambieni leverkusen waongeze goli
🀣🀣🀣🀣
Hawa leverkusen naona kama wanaupoza mchezo wenyewe,
Maana wanalinda energy ya UEFA Tarehe 14

We Red Card Dakika ya 28 then unashindwa kumfunga more than 1 goal.
Ila mpira acha upute kwenye Science yake
 
Mkuu naomba link kama hutojali
 
Kwa sasa hakuna cash out. Kwa kuwa asubuhi nawahi kibaruani ngona nilale nikiamka asubihi nitachungulia.
 
Kwa sasa hakuna cash out. Kwa kuwa asubuhi nawahi kibaruani ngona nilale nikiamka asubihi nitachungulia.
Safiiii Mdau,Kazi ndio kila kitu

Far Rabat amepata Goal la Pili dk ya 89βœ…

Bado Mechi Moja tuuuu ya Inter Miami Saa 6 muamala Usome

Acha tupumzike,tutachungulia kesho mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…