🤣🤣🤣🤣
Tuweni wakweli
Hakuna Dhambi kuuubwa kama Kumpa Mtu pesa Ili abet.
Yaani kama inafika mtu anaomba pesa Ili Abet,jiulize hivi future yake ipoje? Watu wenye Kazi na Biashara tu wanafilisika kwa kuendekeza KAMARI,je ambae Kazi yake ni ya kuungaunga si ndio balaaa.
Acheni hizo mazeeeee, betting au KAMARI sio ajira,ukiona huna pesa fanyakazi upate pesa sio kutengeneza uombe mtu au ndugu.
Ikifika stage ya kuomba basi stage ya kwanza kupitia ni kuuza vitu, utakuta huyo mtu uza uza.
KAMARI ilivyombaya,we kila Siku ya weekend unaona Pesa nje nje,hapo unakuwa kama unawazim vile,teeeja kwisha Kazi.
Ufupi Acheni kuomba,ndio maana wengine wameona wasiombe humu,yaani wameona wawe MATAPELI,mara watabiri wa Nyota,mara sure odds,na Ushuzi mwingine ilimradi wawapige watu,but ujinga wao ni wa kizamani
Usiendekeze KAMARI utadhalilika wewe na Kizazi chako au familia yako.
Huna pesa acha,kama una vyanzo vya pesa Tenga simple and Minor budget for Betting ila usikae na ndoto ya kuwa Millionaire,utapotea mazima
Umri unaenda huo
Nakuja na Odds kama kiburudisho