Mechi ya UD almeria na sevilla imeniuma sana
Niliweka mechi kama 5 ngumu kumeza odds 70+ ikabaki mechi hii moja ya sevilla
Nilimpa sevilla ashinde na Almeria apate goal, Almeria alianza vizuri akaweka goal, baadae sevilla akafanya come back nzuri sana ikawa 1-2
Nilkuwa ninafuraha sana maana nilkuwa naiona laki 5 hii hapa, mbaya zaidi market nilizotumia haziruhusu cash-out, asee huwezi amini dakika ya nyongeza tena ya mwishoni Almeria akasawazisha 2-2
Nilihisi kizunguzungu wakuu, ikabidi nivute bapa kubwa la nyagi nitulize maumivu, imeniuma sana maumivu ya mapenzi yakasome