Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja tuone nitakuza mtaji au la ...tujitahidi kubetia pesa ya kanji huo ndiyo msingi mkuu wa kubeti kiakili na kwa starehe other wise unakuwa mpumbavu
Screenshot_20240311-221825_SportyBet.jpg
 
Al Nasr again
Amepata Goal Moja kwa yule Winger wao Ghareeb ila Mechi ngum,maana hawa Waarabu wa Emirates Tangu Mechi ya mwanzo walikiwasha.

Live Score Al Nassr anaweza kupata over 1.5 maana wanashambulia mnooo,unaweza pia kuweka Cards, second Half Cards zitakuwa nyingi mnoo maana Al Nassr at force more goals na hawa wapo so defensive
 
kabla hujaanza kubetia hela ya kanji lazima uanze kubetia hela yako mwenyewe na hapo ndio huwa pagumu!
Kama ukiweka sh 10000 ikakuwezesha kubetia mikeka ya elfu moja moja jumla ya mikeka 40 ndipo ukapoteza mtaji hapo unskuwa upo kwenye standard bora ya uchezaji ...mimi nina miezi 4 sijaweka pesa na nanunua vocha kwa pesa ya kamari ... kinacho tuponza ni tamaa inayo sababisha mpangilio mbovu wa kubeti bila ya kulinda mitaji au kukuza mitaji
Kama hapa bado na angaika kukuza mtaji
[emoji116]mdogo mdogo
Screenshot_20240312-022255_SportyBet.jpg
 
Al
Kama ukiweka sh 10000 ikakuwezesha kubetia mikeka ya elfu moja moja jumla ya mikeka 40 ndipo ukapiteza mtaji hapo unskuwa upi kwenye standard bora ya uchezaji ...mimi nina miezi 4 sijaweka pesa na nanunua vocha kwa pesa ya kamari ... kinacho tuponza ni tamaa inayo sababisha mpangilio mbovu wa kubeti bila ya kulinda mitaji au kukuza mitaji
Kama hapa bado na angaika kukuza mtaji
[emoji116]mdogo mdogoView attachment 2932263
afu ukikuza mtaji nini kinafata?
 
Mechi ya UD almeria na sevilla imeniuma sana

Niliweka mechi kama 5 ngumu kumeza odds 70+ ikabaki mechi hii moja ya sevilla

Nilimpa sevilla ashinde na Almeria apate goal, Almeria alianza vizuri akaweka goal, baadae sevilla akafanya come back nzuri sana ikawa 1-2

Nilkuwa ninafuraha sana maana nilkuwa naiona laki 5 hii hapa, mbaya zaidi market nilizotumia haziruhusu cash-out, asee huwezi amini dakika ya nyongeza tena ya mwishoni Almeria akasawazisha 2-2

Nilihisi kizunguzungu wakuu, ikabidi nivute bapa kubwa la nyagi nitulize maumivu, imeniuma sana maumivu ya mapenzi yakasome
 
Pole sana mkuu, pendelea kutumia pm bet, mtaji wako ungerudi
 
hello dear punters[emoji4] hope you ok. well your babe mama is back[emoji4]

haya tuanziecha hapa

2.72 odds
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240312_104540.jpg
 
Back
Top Bottom