Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepata Goal Moja kwa yule Winger wao Ghareeb ila Mechi ngum,maana hawa Waarabu wa Emirates Tangu Mechi ya mwanzo walikiwasha.Al Nasr again
Anaongoza[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Leganes win odd 2•70
Boom.[emoji109]asa kipind anared card alikua na odds 11Leganes win odd 2•70
Bet wonNgoja tuone nitakuza mtaji au la ...tujitahidi kubetia pesa ya kanji huo ndiyo msingi mkuu wa kubeti kiakili na kwa starehe other wise unakuwa mpumbavu View attachment 2932041
kabla hujaanza kubetia hela ya kanji lazima uanze kubetia hela yako mwenyewe na hapo ndio huwa pagumu!Ngoja tuone nitakuza mtaji au la ...tujitahidi kubetia pesa ya kanji huo ndiyo msingi mkuu wa kubeti kiakili na kwa starehe other wise unakuwa mpumbavu View attachment 2932041
Kama ukiweka sh 10000 ikakuwezesha kubetia mikeka ya elfu moja moja jumla ya mikeka 40 ndipo ukapoteza mtaji hapo unskuwa upo kwenye standard bora ya uchezaji ...mimi nina miezi 4 sijaweka pesa na nanunua vocha kwa pesa ya kamari ... kinacho tuponza ni tamaa inayo sababisha mpangilio mbovu wa kubeti bila ya kulinda mitaji au kukuza mitajikabla hujaanza kubetia hela ya kanji lazima uanze kubetia hela yako mwenyewe na hapo ndio huwa pagumu!
Ripuka hata direct win mpe home and over 2.5WAKUBWA MECHI YA SIMBA LEO INAWEZA KUTOA OVER 2.5 NATAKA NILIPUKE.
afu ukikuza mtaji nini kinafata?Kama ukiweka sh 10000 ikakuwezesha kubetia mikeka ya elfu moja moja jumla ya mikeka 40 ndipo ukapiteza mtaji hapo unskuwa upi kwenye standard bora ya uchezaji ...mimi nina miezi 4 sijaweka pesa na nanunua vocha kwa pesa ya kamari ... kinacho tuponza ni tamaa inayo sababisha mpangilio mbovu wa kubeti bila ya kulinda mitaji au kukuza mitaji
Kama hapa bado na angaika kukuza mtaji
[emoji116]mdogo mdogoView attachment 2932263
Unakuwa unacheza bet bure na kujaribu bahati uwezavyo hata ngumu kumeza unacheza bila hasaraAl
afu ukikuza mtaji nini kinafata?
Pole sana mkuu, pendelea kutumia pm bet, mtaji wako ungerudiMechi ya UD almeria na sevilla imeniuma sana
Niliweka mechi kama 5 ngumu kumeza odds 70+ ikabaki mechi hii moja ya sevilla
Nilimpa sevilla ashinde na Almeria apate goal, Almeria alianza vizuri akaweka goal, baadae sevilla akafanya come back nzuri sana ikawa 1-2
Nilkuwa ninafuraha sana maana nilkuwa naiona laki 5 hii hapa, mbaya zaidi market nilizotumia haziruhusu cash-out, asee huwezi amini dakika ya nyongeza tena ya mwishoni Almeria akasawazisha 2-2
Nilihisi kizunguzungu wakuu, ikabidi nivute bapa kubwa la nyagi nitulize maumivu, imeniuma sana maumivu ya mapenzi yakasome