Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

pole sana Chief kwa matatizo, wewe upo mkoa gani?
 

Wakuu angalien na hyo me cjawekeza bdo nasaka mtaji
 
Kweli mkuu, Fursa ndio hii kaka. Jana basel kanichania 1H kashindwa kupata goli ila nakomaa na kanji online tu. Huko hela njenjeee.
Kweli mkuu. Nilikuwa nafanya majaribio hasa kwenye upande wa magoli.

Biashara inaanza rasmi kesho. Tupo pamoja
 
Levadia Tallinn II v Tallinna FC Infonet II Both Teams To Score Yes 1.16 N/A

af mpaka saiv dakka 87 1-0 si ujinga huu
 
Nimecopy na kupaste km ilivyo kwa BankoCep (total odds = 3.72) ... ngoja nitembee na nyota yao leo.

View attachment 379710

Geniustin, kama unatumia smartphone unaweza kuidownload hiyo app (ipo kwenye App Store & Play Store)


Viking vs Rosenborg ... daaah !!! nimedesa BankoCep lakini Kanji kapita na mm ... daaamn
 
Wakuu hv ili niweze walau kula laki 2 kwa wiki ni tips gani au mambo gani kufuatilia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…