Jacky collection
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,238
- 484
Ahsante Kwa taarifa mkuu, ndo TFF hivi punde nao wameweka taarifa ya mechi kuwa saa 2 na roboSaa mbili na robo usiku,Ili watu wapoze iftar kabisaa
Hii inamaanisha nini? Nilivyoelewa. Kwa mfano hapo wanaposema home team to score 2 or more goals in raw. Nimeelewa wapate magoli mawili au zaidi kabla ya team ya away haijapata goal. Si ndivyo jamani. kama sio hivyo ninaomba ufafanuzi tafadhali.
Ref mwindi yake 1.View attachment 2935534
Yaani timu ya nyumbani ipate magoli matatu ama zaidi bila ya timu pinzani kupata goli. Kwa urahisi zaidi timu ya nyumbani ifunge magoli matatu mfululizo bila timu pinzani kupata goli hapo katikati. Mfano, timu ya nyumbani ipate magoli 3 bila kisha hiyo ya ugenini ikipata goli ni sawa isitokee hiyo ya ugenini ikapata goli katikati kabla wa nyumbani hajatimiza hizo goli 3 yenyewe.
barikiwa.. hii inanifaa.
Si uverify account yako mkuu...kampuni zote za warusi ndo ziko hivyoHaya makampuni mapya jau sana unadeposit fresh tu ila ukitakata kutoa hela wanaleta visingizio.
View attachment 2935811
Kwenye T&Cs wameweka wazi, huwezi kutoa pesa bila akaunti kuwa verified, vilevile unaweza kupata bonus endapo tu umefanya full registration.Haya makampuni mapya jau sana unadeposit fresh tu ila ukitakata kutoa hela wanaleta visingizio.
View attachment 2935811
Tatizo Kanji anapiga jichoni tu Hadi hatuoni mbeleMbona humu ndani kimya?
Giza likizidi jua kunakaribia kupamabzuka so turudi vitani wazee