Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aliekua anaulizia Promocode ya meridianbet Ni 7113
✓Option Ni nyingi sana🔥
Bonus 200% kwa anaejisajili na kudeposit kwa Mara ya kwanza
 
Hii inamaanisha nini? Nilivyoelewa. Kwa mfano hapo wanaposema home team to score 2 or more goals in raw. Nimeelewa wapate magoli mawili au zaidi kabla ya team ya away haijapata goal. Si ndivyo jamani. kama sio hivyo ninaomba ufafanuzi tafadhali.
Ref mwindi yake 1.
Screenshot_20240315-191357_Chrome.jpg
 
Yaani timu ya nyumbani ipate magoli matatu ama zaidi bila ya timu pinzani kupata goli. Kwa urahisi zaidi timu ya nyumbani ifunge magoli matatu mfululizo bila timu pinzani kupata goli hapo katikati. Mfano, timu ya nyumbani ipate magoli 3 bila kisha hiyo ya ugenini ikipata goli ni sawa isitokee hiyo ya ugenini ikapata goli katikati kabla wa nyumbani hajatimiza hizo goli 3 yenyewe.
Hii inamaanisha nini? Nilivyoelewa. Kwa mfano hapo wanaposema home team to score 2 or more goals in raw. Nimeelewa wapate magoli mawili au zaidi kabla ya team ya away haijapata goal. Si ndivyo jamani. kama sio hivyo ninaomba ufafanuzi tafadhali.
Ref mwindi yake 1.View attachment 2935534
 
barikiwa.. hii inanifaa.
Yaani timu ya nyumbani ipate magoli matatu ama zaidi bila ya timu pinzani kupata goli. Kwa urahisi zaidi timu ya nyumbani ifunge magoli matatu mfululizo bila timu pinzani kupata goli hapo katikati. Mfano, timu ya nyumbani ipate magoli 3 bila kisha hiyo ya ugenini ikipata goli ni sawa isitokee hiyo ya ugenini ikapata goli katikati kabla wa nyumbani hajatimiza hizo goli 3 yenyewe.
 
Haya makampuni mapya jau sana unadeposit fresh tu ila ukitakata kutoa hela wanaleta visingizio.
20240315_081634.jpg
 
Kipigo cha majuzi kimekula mtaji wangu nilibaki na sh300 tu sasa hivi nipo naikuza angarau ni fikish 10000 kanji ni mchawi
Leo kuna mechi nyingi ila mtaji ni mdogo naona ujinga kudeposit pesa
 
Back
Top Bottom