Haya natupa karata yangu, copy and paste at your own risk, kie kie kie
return ngapi hapa?
hii kitu mnaitaga sijui kubeti sijui kunini,sipendi hii.
Mpaka sasa hela haijaingia nimedeposit kwa m pesa meridian
Karibuni wageni kilingeni kwa wawekezaji hapa ni get rich or die tryin,no pain no gain, muosha huoshwa.
kaka shoppers plaza ya wp,mikocheni au masaki?
waungwana iplay&casino unatandazaje mkeka au ndo unacheza match moja moja? maana kila nikipoint timu kadhaa nakuwa recommended kuweka stake kila game..muongozo wenu tafadhal
Huu Ndo mkeka wangu wa leo
unamoyo sana kaka, 100,000? mwisho wangu ni 10,000..... kila la kheri ndugu yangu
Mkuu hizi elfu 10 ni mpaka ufanye combo ndo usikie raha ya return.
Wanauchumi wanasema high risk high return pia large stake high return.
Nilisoma sana hapa foruk nikaona accumulation zina hasara sana kuliko singles.