Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari ya majukumu wakamalia poleni na majukumu ya kuendelea kumsaka kanjibai..tupo pamoja maafisa ubashiri ninaomba mwongozo jamani namna ya kuweka hela kwenye APP ya 888staz msaada tafadhali kwa mwenye kujuwa anipe mwongozo.......
 
Tumia wakala
 
Cape Verde anacheza na timu ambayo kwenye Ramani ya dunia ya mpira haipo, alafu inashindwa kutoa 1.5 over na kabaki yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…