Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimepigwa sana ila Hawa jamaa wamenisave sana asee..Tatizo la wakamaria wanahisi mda wote wanaibiwa tu..Hawa jamaa wa Telegram kwanza hawajitangazi kabisaa ila show zao sisi tuliojiunga tunazijua...Ukitaka ongea nao usipotaka pita kule
Link✅
 
Tuone walivyokusaidia
 
Mbona zote naona ni win tu, au lost anaziondoa kwa channel
 
Hizi friendly games wanaweka ata wale watoto kuingia wajifuraishe apa tusubiri week ya kesho kutunza mitaji tu maana ndo kutaanza kuwa fireeeeeee 🤣 tulie na wakina Bayer Munich,
 
Nakushauri uchukuwe ukoo wako wote pamoja na majirani zako wa kijijini na mjini then wafungulie account ya kubeti then waunge huko Telegram ili muwe matajiri. Usituchoshe.
 
Nakushauri uchukuwe ukoo wako wote pamoja na majirani zako wa kijijini na mjini then wafungulie account ya kubeti then waunge huko Telegram ili muwe matajiri. Usituchoshe.
Nafikir kawajua juzi awo ndo maana anawamwagia sifa betting sio rahic ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…