Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu ilikuwa bahati ila nilicheza live, na hiyo mechi moja ya indian league.Leo nikasema nibetie mademuu mamaee zaooo
Ngum, wamepotea hao siku hizi na wapo awayBelouzdad anaez toboa na odds 3
Odds 13 hizo ningeweka 10000 sasa hivi ningekuwa najipoza na kitimoto wakuu!
Kwa ufupi kuna sehemu nachukua timu 15 daily na zote zinakuwa na odds kuanzia 12 na katika timu hizo ni wastani wa timu 3 huwa zinatoa! Sasa najiuliza niongeze dau au itakuwa biashara kichaa
Walitakiwa kuweka my favourite yani unajipangia mpangilio wa nyuzi uzipendazo utakavyo wewe JF ipo nyuma ya wakati sanaHivi JF new look mbona wametoa sehemu YA subscribe au participants...mods watafakari ilikuwa inatusaidia sana kuona thread unanilayoipenda au ulizowahi shiriki
Narudia Tena shauri yakoNakushauri uchukuwe ukoo wako wote pamoja na majirani zako wa kijijini na mjini then wafungulie account ya kubeti then waunge huko Telegram ili muwe matajiri. Usituchoshe.
Wakuu msaadA namba ya wakala wa 1xbet ukiachana na mhode??
Mkuu vipi umeshapata namba ya wakala wa 1XbetWakuu msaadA namba ya wakala wa 1xbet ukiachana na mhode??