Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Esbjerg VS Aarhus Fremad1
GER RGNNorderstedt VS Eimsbutteler1
GER RGNTeutonia Ottensen VS Jeddeloh1
GERSchonnebeck VS Meerbusch1
GER RGNGermania Ratingen VS Frintrop1
 
Leo nikasema nibetie mademuu mamaee zaooo
Kwangu ilikuwa bahati ila nilicheza live, na hiyo mechi moja ya indian league.
IMG_20240324_205934_221.jpg
 
Odds 13 hizo ningeweka 10000 sasa hivi ningekuwa najipoza na kitimoto wakuu!
Kwa ufupi kuna sehemu nachukua timu 15 daily na zote zinakuwa na odds kuanzia 12 na katika timu hizo ni wastani wa timu 3 huwa zinatoa! Sasa najiuliza niongeze dau au itakuwa biashara kichaa
 
Attachments

  • Screenshot_20240324-211844.png
    Screenshot_20240324-211844.png
    171.9 KB · Views: 8
Leo wakinamama nao zamu yao nyoko zao bora wakacheze rede ten limeenda kingese sana mamaee ningejua ningebwia monde tu
 
TANZANIA vs MONGOLIA wala Majongooo

Tanzania ranked 119 vs Mongolia ranked 190

Sasa ole wenu nyie mliobakia huko mtuchanie mikeka
Mkifungwa goal Moja mtatukera saana,kama kufungwa bora mfungwe mbili wa Over 1.5 tutulie nyie muendelee na shida zenu
 
Hivi JF new look mbona wametoa sehemu YA subscribe au participants...mods watafakari ilikuwa inatusaidia sana kuona thread unanilayoipenda au ulizowahi shiriki
 
Na ungekuwa na hiyo buku wala usingeiweka kwa hiyo option. Betting iache kama ilivyo wewe endelea tu kubahatisha mkuu😂😂
Odds 13 hizo ningeweka 10000 sasa hivi ningekuwa najipoza na kitimoto wakuu!
Kwa ufupi kuna sehemu nachukua timu 15 daily na zote zinakuwa na odds kuanzia 12 na katika timu hizo ni wastani wa timu 3 huwa zinatoa! Sasa najiuliza niongeze dau au itakuwa biashara kichaa
 
Hivi JF new look mbona wametoa sehemu YA subscribe au participants...mods watafakari ilikuwa inatusaidia sana kuona thread unanilayoipenda au ulizowahi shiriki
Walitakiwa kuweka my favourite yani unajipangia mpangilio wa nyuzi uzipendazo utakavyo wewe JF ipo nyuma ya wakati sana
 
Treni fanyeni na positive edit odds 6600

76B9E96

Edit odds 211

[emoji95]7A3060[emoji95] tuna jaribu
 
Nakushauri uchukuwe ukoo wako wote pamoja na majirani zako wa kijijini na mjini then wafungulie account ya kubeti then waunge huko Telegram ili muwe matajiri. Usituchoshe.
Narudia Tena shauri yako
Hawa jamaa wanajua MNOO jichatue sasa uendelee kunyooshwa mpaka akili ikae sawa
 
Back
Top Bottom