Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • Screenshot_20240328-075857.jpg
    Screenshot_20240328-075857.jpg
    264.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240328-075849.jpg
    Screenshot_20240328-075849.jpg
    297.9 KB · Views: 7
Just imagine kati ya game 13 za jackpot 7 zimetoa draw. Hii kazi ni uchawi, mwaka unaenda kuisha sasa tangu jackpot ya game 13 ipate mshindi
Mhindi sijui Huwa anazionaje game mpaka anasema hii ikae jackpot,
 
Remember that sports betting involves inherent risks, and there are no guarantees of winning. It's essential to gamble responsibly and view betting as entertainment rather than a reliable source of income.
 
Hivi mkeka unakuwaje lost kwa mechi kutokuchezwa [emoji849]

Anaye jua hii vipi?
Screenshot_20240328-164135_SportyBet.jpg
 
Na pia kwenye kutoa pesa ni mtihani mkubwa sana. Ngoja nibakl kwa Kanjibai mie.
Wakuu nyinyi mnatumia njia gani zinazosumbua kutoa hela? Kwa sababu kama umejisajili kwa mitandao ya simu mbona kuna option nzuri na zinazo fanya kazi za kuweka na kutoa pesa? Hizo njia zinafanya kazi PARIPESA, Megapari, Hela nk. Sasa nyinyi mnatumia njia zipi kutoa?
 
Tunatumia simu mkuu. Tatizo ukitoa pesa zinakuwa hewani hadi wiki moja ndio zinakufikia. Mdau mmoja humu aliwahi kulalamika kuhusu kushindwa kutoa pesa 1×bet.
 
Tunatumia simu mkuu. Tatizo ukitoa pesa zinakuwa hewani hadi wiki moja ndio zinakufikia. Mdau mmoja humu aliwahi kulalamika kuhusu kushindwa kutoa pesa 1×bet.
Labda kulikuwa na shida ya mtandao. Mimi natoa hela mara kwa mara PARIPESA, MEGAPARI na Helabet sijaona usumbufu huo. Wanachelewa dakika 5 ndiyo unapokea hela yako.
 
Hiyo mechi kuna asilimia kubwa ya kutokungana,,,, 0:0 ft au X ft,,,,,

Timu za hamasa huwa wanakaza nyumbani,,,,ila kwa hii % kubwa ni draw
Hii Mechi Mdau haina draw ya Bila Bila

Itakuwa labda draw ya magoli

Maana second Half Simba watafungua Team,maana ushindi ni nyumbani

Zile Beki za SIMBA na Pessi Tau naona MAJANGA tu

Either.Al Ahly Win or Draw,sema hii option Sportbety hawajaiweka,wanazifungua options Nusu nusu
 
Mi nitajaribu kwa kasalio kidogo ka 0:0 ft
 
Back
Top Bottom