Nafahamu jinsi ya kufika hapo.. Ila tatizo nililo nalo, sioni sehemu ya kutoa kwa halopesa.Njia ipo mkuu. Bonyeza icon ya menu, kisha nenda settings utakutana na option ya Withdraw kama hii hapa chini View attachment 2946394
Mhindi sijui Huwa anazionaje game mpaka anasema hii ikae jackpot,
Mhindi sijui Huwa anazionaje game mpaka anasema hii ikae jackpot,
Fanya update ya app yakoNafahamu jinsi ya kufika hapo.. Ila tatizo nililo nalo, sioni sehemu ya kutoa kwa halopesa.
Ukitumia google inaonekana wametoka 3 - 3 leoHivi mkeka unakuwaje lost kwa mechi kutokuchezwa [emoji849]
Anaye jua hii vipi?View attachment 2947286
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Ukitumia google inaonekana wametoka 3 - 3 leo
Hivi mkeka unakuwaje lost kwa mechi kutokuchezwa [emoji849]
Anaye jua hii vipi?View attachment 2947286
Naona tumeludi kilingeni mkuu safi sana tumemiss code za bas🏀🏀 za night chupa limeamka na chai
Na pia kwenye kutoa pesa ni mtihani mkubwa sana. Ngoja nibakl kwa Kanjibai mie.Kampuni za mrusi ni nzuri kweli kwenye option tena nzuri mno ila kwenye customer care ni -0% kabisaa
Wakuu nyinyi mnatumia njia gani zinazosumbua kutoa hela? Kwa sababu kama umejisajili kwa mitandao ya simu mbona kuna option nzuri na zinazo fanya kazi za kuweka na kutoa pesa? Hizo njia zinafanya kazi PARIPESA, Megapari, Hela nk. Sasa nyinyi mnatumia njia zipi kutoa?Na pia kwenye kutoa pesa ni mtihani mkubwa sana. Ngoja nibakl kwa Kanjibai mie.
Tunatumia simu mkuu. Tatizo ukitoa pesa zinakuwa hewani hadi wiki moja ndio zinakufikia. Mdau mmoja humu aliwahi kulalamika kuhusu kushindwa kutoa pesa 1×bet.Wakuu nyinyi mnatumia njia gani zinazosumbua kutoa hela? Kwa sababu kama umejisajili kwa mitandao ya simu mbona kuna option nzuri na zinazo fanya kazi za kuweka na kutoa pesa? Hizo njia zinafanya kazi PARIPESA, Megapari, Hela nk. Sasa nyinyi mnatumia njia zipi kutoa?
Hiyo mechi kuna asilimia kubwa ya kutokungana,,,, 0:0 ft au X ft,,,,,SIMBA vs AL AHLY
Simba mapenzi wangu,nakupenda kuliko JOKATE MWEGELO ila kesho nakuuwa mazimaaaa pesa kwanza mapenzi baadae
Labda kulikuwa na shida ya mtandao. Mimi natoa hela mara kwa mara PARIPESA, MEGAPARI na Helabet sijaona usumbufu huo. Wanachelewa dakika 5 ndiyo unapokea hela yako.Tunatumia simu mkuu. Tatizo ukitoa pesa zinakuwa hewani hadi wiki moja ndio zinakufikia. Mdau mmoja humu aliwahi kulalamika kuhusu kushindwa kutoa pesa 1×bet.
Hii Mechi Mdau haina draw ya Bila BilaHiyo mechi kuna asilimia kubwa ya kutokungana,,,, 0:0 ft au X ft,,,,,
Timu za hamasa huwa wanakaza nyumbani,,,,ila kwa hii % kubwa ni draw
Mi nitajaribu kwa kasalio kidogo ka 0:0 ftHii Mechi Mdau haina draw ya Bila Bila
Itakuwa labda draw ya magoli
Maana second Half Simba watafungua Team,maana ushindi ni nyumbani
Zile Beki za SIMBA na Pessi Tau naona MAJANGA tu
Either.Al Ahly Win or Draw,sema hii option Sportbety hawajaiweka,wanazifungua options Nusu nusu