Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Maana ukiona kila Team Duniani ina dhaminiwa na Kampuni za Betting ujue ndio Maisha yao

Ndio maana nasema the best option ever is over 1.5

Ila hizi direct Win or Win or Draw aiseee

Leo over 1.5 taaam hatari
 
Simba ijichanganye wapigwe mkono,,,,,
Wacheze kwa hadhari na kushambulia kwa nidhamu,,, wajitoe ufahamu wapigwe kaunta

Ijapokuwa inaonekana wale wa over 1.5 tujiandae kisaikoliji,,,,,

Wale wa GG au BTS ni kujiandaa kisaikoliji

Wale wa 1X ni kujiandaa kisaikoliji

Ila yote kwa yote mpira ni dk 90+
 
Imeisha hiyo

SIMBA umemcheza kikubwa mnooo, mengine matokeo na Mwarabu katuzidi uchawi


Ila nilijua tu ngum hatua hizi Al Ahly huwa sio wa kawaida.
 
Tahadhari KANJI kapigiwa Sim Mishahara Tayari

Vijana kazini 🤣🤣🤣🤣

YANGA vs MAMELOD over 1.5

Tahadhari:- Betting sio ajira utazeeka muda bado
 
Haya wazee wa ((((bet way))) sogea hapa chagua odd weka kibunda am back baada ya burn

1.89116CD hii ni odd 13990
2.890DAF3 hii ni odd 99.52
3.890DA9C hii ni 2421.


Usikate tamaa tugende tukole ....jmos njema wapemdwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…