Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Stuttgart hawaamini kimechowakuta🤣🤣🤣🤣

Baada ya kkuongoza 2 Bila wakaanza show game,WAHUNI wanasema subirini tuwaharibie
Yaani walikuwa wanamshusha Bayern Munich siku sio nyingi

 
Yaaaani EPL mechi zote 10 nilizipa over 1.5 eti leo man city na arsenal wanatoka nyavu nyau daaaah!! Wakuu Hela ya Kanji ni tamu lakini ni ngumu sana yenye kukatisha tamaa😁😁
 
Yaan hii timu sijui ikoje aisee kila nikiiamini inaniangusha,cha ajabu sasa nisipoibetia inashinda


Yaani ashinde au atoe sare...ku*******ke zake sana yaani mwezi huu natembelea rimu na sikukuu ya eid hiyoooo🥹
 
Yaaaani EPL mechi zote 10 nilizipa over 1.5 eti leo man city na arsenal wanatoka nyavu nyau daaaah!! Wakuu Hela ya Kanji ni tamu lakini ni ngumu sana yenye kukatisha tamaa[emoji16][emoji16]
Daah kasoro moja tu
 
Kweli we mkali aisee,,,,, na ukatoa odds mbili sure buuure kabisa!!!

Betting siyo rahisi kihivyo
Hiyo ukuona? Betting ni mchezo wa bahati na uchambuzi wa kina hakuna kitu Cha uwakika. Kwenye betting tunashinda baadhi na tuna pata baadhi muhimu ni kujenga faida. Nafanya uchambuzi wangu Kwa kina Kulingana na statistics
 
Hiyo ukuona? Betting ni mchezo wa bahati na uchambuzi wa kina hakuna kitu Cha uwakika. Kwenye betting tunashinda baadhi na tuna pata baadhi muhimu ni kujenga faida. Nafanya uchambuzi wangu Kwa kina Kulingana na statistics View attachment 2950346
Hizo za dizaini hiyo hata sie tunapita nazo sana

Shortly hata Odd Moja haina uhakika.
We chambuaa ujuavyo ila Bahati ni 98%,Waulizeni watu wa Chelsea na Man United wanajua hilo.
So anyone can predict through lucky

Kawaida tu hizo


Nataka mie na wewe tufanye ubishi wa Faida kwa group
Sio kuitana sijui kuunga group laa WhatsApp kuuziana odds kizembe


Kesho tupia. Mkeka wako wa Uchambuzi live ma Mie nitupie humu humu na sio kuitana chamber kuibia watu

Narejea mie nitauweka mkeka kesho Asubuhi wa matches za kesho 5 Odds and 10 odds in public for free picking up
 
PSG ktk ubora wake with Red card

Hapa inabidi ulale tu then kesho ndio ujue matokeo.

Sema tu Naangalia Real Madrid but PSG apaki tu basi sio kwa kubanwa huku,wale wa live Scores second half ina corners nyingi, maana Subs za marseille ni Washambuliaji wenye kasi
 
Wapi mtu kaitwa kuuziwa mikeka? Hongera basi Kwa kushibisha mitaa Kwa odds zako kumi kumi au Tano Tano. Umebarikiwa mno kuliko wabetiji wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…