Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijasema kuwa ina assurance ya 100% kuwin mkuu ila ukiweza kubashiri kwa mtindo wa 1X, 12 au X2 kwa kufuatisha Form ya timu na Game husika ni bonge moja la option. Kumbuka mpira una matokeo matatu tu so izo option zingine ni extra tu bookies wameweka kutuchanganya.
Hakunaga opts ya uhakika TRUST ME Umewin leo kesho majanga.
 
Dah; jana almanusra...
Screenshot_20240401_125459_Chrome.jpg
Screenshot_20240401_125459_Chrome.jpg
 
PSG ktk ubora wake with Red card

Hapa inabidi ulale tu then kesho ndio ujue matokeo.

Sema tu Naangalia Real Madrid but PSG apaki tu basi sio kwa kubanwa huku,wale wa live Scores second half ina corners nyingi, maana Subs za marseille ni Washambuliaji wenye kasi
PSG kanichania nilimpa corner 5 kapata 3
 
LUZERN GG ✓✓✓✓✓✓ done
RODA OV 2.5
2.50
MXB
 
Jaman wakala wa 1xbet nisaidie I nampataje ? Aliyekuwa namtumia hayupo hewan zaid ya week anaitwa Mhode wa moshi
 
Back
Top Bottom