project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
Hakunaga opts ya uhakika TRUST ME Umewin leo kesho majanga.Sijasema kuwa ina assurance ya 100% kuwin mkuu ila ukiweza kubashiri kwa mtindo wa 1X, 12 au X2 kwa kufuatisha Form ya timu na Game husika ni bonge moja la option. Kumbuka mpira una matokeo matatu tu so izo option zingine ni extra tu bookies wameweka kutuchanganya.
90 millionsSportbet maximum winning ni ngapi wakuu
Kwa stake yeyote90 millions
PSG kanichania nilimpa corner 5 kapata 3PSG ktk ubora wake with Red card
Hapa inabidi ulale tu then kesho ndio ujue matokeo.
Sema tu Naangalia Real Madrid but PSG apaki tu basi sio kwa kubanwa huku,wale wa live Scores second half ina corners nyingi, maana Subs za marseille ni Washambuliaji wenye kasi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]STOKE WIN
2.10
WEKAMKE NA MTOTO NIKO KWA MASSAWE USISAHAU SADAKA
0713458722