Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Walikuwa wanacheza kwa kitegana mnooBenfica vs Sporting niliweka over 1.5, halftime 0-0 nikawaza kucash out akili ikaniambia acha ubwege hizi timu kubwa ,waliporudi ndani ya dk 9 mara 1-1, gafla 2-2
Ona hili jingaaa!!!!Ivi kuna wana wanawazidi hawa AlphaBet?hawa jamaa noma aisee
Ukiona stv ... Maana yake hiyo mechi unaweza kuiangalia live kwenye app ama website.Wakuu naomba kujua Nini maana ya ( stv) Kwenye mechi Kwenye kampuni ya sportbetView attachment 2952845
Maana yake SPORTBETY TELEVISIONWakuu naomba kujua Nini maana ya ( stv) Kwenye mechi Kwenye kampuni ya sportbetView attachment 2952845
Shukrani mkuuMaana yake SPORTBETY TELEVISION
Ukiona alama Nyekundu ni kwamba Mechi hiyo utaiona live,na ikianza Ingiza kwenye Betting slip Yako kisha Click hicho kitufe chekundu then Mechi unaiona live ila ajipange na Bundle
Na Ukifungua basi subiria kidogo sometimes zinakuwa nzito kufunguka
ANGALIZO:- Zipo baadhi ya mechi zinaandikwa Stv ila hazionyeshwi
Vp chief ulipata namba?Jaman wakala wa 1xbet nisaidie I nampataje ? Aliyekuwa namtumia hayupo hewan zaid ya week anaitwa Mhode wa moshi
Kwa wale wanao pata tabu ya kupata wakala mchekini romano wakala wa Dunia namba hizo hapo kwenye pichaChief kama una namba ya wakala 1xbet ukiacha mhode naomba nisaidie...
huyu jamaa ana mkono nuksi. uwezi shida hela uki deposit kwake. ni kama anatumia ndumba.
Hizo kiongoziChief kama una namba ya wakala 1xbet ukiacha mhode naomba nisaidie...
Na wewe una kimeo Kama mimi ? Nlideposite Leo ila hela haijangia kwenye account na email hawajibu Wala chat kwenye appHabari za mchana wadau
Naomba kwa mwenye mawasiliano ya helabeti anisaidie
Hope ulicash out mkuuWakamalia bomu letu bado linapumua, au ndo hakun alowekaa? View attachment 2953232