Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Niache tu kubet yaani hata hii nimekosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAN uuuu safliiiiiii
Huko Uholanzi atleast PSV ila Ajax inaongoza kuchana
Kuna siku nimesema hiki kitu humu nikashambuliwa sana.Huko Uholanzi atleast PSV ila Ajax inaongoza kuchana
Halafu nakushauri tu Mdau mwenzangu
Buku( 1000) nikubwa sana ktk Maisha ya Sasa,yaani unapobet 1,000 at a stake Ili upate faida ya 789 don't think if there is seriousness
At least to the minimum target uanzie ku target 5000 kwa ku stake Buku .
Ni USHAURI tu Mdau,Ipe thamani Buku Yako,hizo target humu wanacheza watu mpaka Tsh:50 wengine hawazidi hata 200 ku stake
Sasa ujue thamani ya Elfu Yako ni kubwa mnoo
Betpawa wahuni naisi watu wamepakimbia kwa sasaWakuu leteni code betpawa turuke nazo..
Kaliwa huyoKutoka twitterView attachment 2953897
Betpawa wanabadilisha matokeoWakuu leteni code betpawa turuke nazo..
Yes no doubtBetpawa wanabadilisha matokeo
Kuna mtu aliwahi kutuma hapa ushahidi matokeo yakiwa yamebadilishwa.Yes no doubt
Kumbe!!Betpawa wanabadilisha matokeo
kumbe ndo maan siku hizi na loose katika hali ambayo sio ya kawaida....hasa hasa ukiweka zile timu ambazo hazijulikaniBetpawa wanabadilisha matokeo
mfano simba 2 vs yang 0 wao Wanafanya kingine chakeKuna mtu aliwahi kutuma hapa ushahidi matokeo yakiwa yamebadilishwa.
Ondoa hiyo timu mkuuAl Nassr leo anacheza
Sasa tuishinae kwa mazoea
😂😂😂😂Ondoa hiyo timu mkuu