Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Katibu mwenez utuingiz chakaWeka figo na firigisi timu chache odd mlima
1.Braga vs Auroca 1x and 1.5 over
2.Bondo climit vs viking #1half goal over 1.5
3.PSG VS CLEMORT # (-1.5H)
4.Dortmund vs stugguart
1st half goal 1.5 over
Niwatakie weekend njema
Umesemaje kuhusu Dortmund?Weka figo na firigisi timu chache odd mlima
1.Braga vs Auroca 1x and 1.5 over
2.Bondo climit vs viking #1half goal over 1.5
3.PSG VS CLEMORT # (-1.5H)
4.Dortmund vs stugguart
1st half goal 1.5 over
Niwatakie weekend njema
Hapana mkuu hizi odd 75% zina uhakika zinatoaKatibu mwenez utuingiz chaka
Humuamin dortmund muda ni mwalimu mzuri utakuja kuonaUmesemaje kuhusu Dortmund?
Mkuu nimebet. Siweki Code humu ambayo sijastake mimiMzee umeamua kupambania promo code upate bonus basala ya kuchua hizo odd 6 ukabet...
Bayern ata awe mbovu vipi haez fungwa na AsenoBayern kwa hali hii arsenal asije 2 kujipakulia minyama
Bayern kakuchania wewe tu, mimi leo ndo mara ya kwanza kuchaniwa na Leverkusen tangu msimu uanze japo simlaumu mana ni uzembe wangu.Aisee Tutabadili kila mikao kama Machangudoa wa Buguruni ila hawaolewi
Sasa mwendo wa over 1.5 shenzz type
We Bayern kenge mmoja
Leverkusen direct Win over 1.67 ikatoa pumbavv nikampa win or draw odds 1.12 aisee kachanaππππ
Hakuna vya odds Chache wala nyingi,play of lucky
Bayern kasepa na Dunia