Halafu hakuna Corner hata Moja🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aiseeeeDakika 20 za mwanzo tayari game zote mbili za uefa zishatoa GG
Leo migoli kama yotetulioomba kona leo ni kilio[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Edit mkuuMkuu vp nina wasiwasi na under ya wembanyama
Stake bei gani?Leo kumeamka vizuri kuanzia tu Jana watu wamefanya kufuru japo wengine wameliwa na kina bayern na kina man city ila kawaida kikubwa maokoto yalitoka na watu wanaendelea kunufaika na familia zao Leo kama hujapitiwa na mchoro wa hela Jana basi wewe sio mjanja nenda kafanye biashara minadani huko.mimi nilipata 145000 ila ndo ikapepea shwaaaaa ila nimebaki na Ka something cha kuanzia leo/kutoa lock. Wewe je ulipata bei gani?
Angekuzaba vibao vingi sana.Leo nilitengeneza hivi nikatenga stake ya 5000 machale yakanicheza nikapotezea.😃
Bayern x2
Madrid win
Leicester win
Leeds win
Southampton win
Pole kanji leo umenikosa