Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo kumeamka vizuri kuanzia tu Jana watu wamefanya kufuru japo wengine wameliwa na kina bayern na kina man city ila kawaida kikubwa maokoto yalitoka na watu wanaendelea kunufaika na familia zao Leo kama hujapitiwa na mchoro wa hela Jana basi wewe sio mjanja nenda kafanye biashara minadani huko.mimi nilipata 145000 ila ndo ikapepea shwaaaaa ila nimebaki na Ka something cha kuanzia leo/kutoa lock. Wewe je ulipata bei gani?
 
Stake bei gani?
 
Screenshot_20240410_054223_SportyBet.jpg
 
Back
Top Bottom